Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 848
- 1,212
Halo jf members, Unadhani nini kifanyike ili Gazeti la Mwanahalisi litoke kifungoni. Mwanzoni lilifungwa kwa siku 90 likafunguliwa, sasa hivi kifungo kimekuwa kikubwa zaidi( mpaka sasa takribani siku 150). Pengine tunaingia 2013 bila Mwanahalisi.