Heshima mbele, kuna tetesi zisizo rasmi kwamba JWTZ wanataka kuajiri watu wenye taaluma ndani ya jeshi hilo, kwa nafasi za maofisa mbalimbali.
Wana JF mliondani ya system, hebu tupeni nyepesi ili...
Miongoni mwa makampuni yanayopata faida nyingi ni makampuni ya ujenzi. Nimeleta uzi huu kwasababu nimekuwa malalamiko kutoka kwa watu wanaofanyakazi kwenye makampuni ya kichina, mala nyingi...
Tamko la kamanda wa Polisi
Askari hawa walikuwa katika doria ya kawaida, walimkamata mwenye bodaboda na alikuwa anagoma kutii amri na wakati wanabishana alitoa kisu ndipo askari huyo akampiga...
Ile mida ya wale wa migombani kujongea kwa kunyumba.. Nyimbo za Judy Boucher na Lucky Dube zinahusika sana muda huu! Kila la kheri wa migombani.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Jana katika sherehe za kuwatambua na kuwasajili Mawakili wapya pale kwenye viunga vya Law School of Tanzania,Jaji Mkuu wa Tanzania amegusia jambo.Jambo lenyewe ni uhaba wa Mawakili nchini...
Mbunge wa Ubungo kwa tiketi ya Chadema - John Mnyika, jana alifafanua maana ya sera ya Chadema "NGUVU YA UMMA", alisema "sisi Chadema tumekuja na sera ya nguvu ya umma. Sera hii inalenga...
Tarehe 12/12/2012 or "12/12/12" ndiyo tarehe ya mwisho ambayo "siku" na "mwezi" zipo sawa "ki-tarakimu" kwa kizazi hiki kuishuhudia... Poleni sana wa-ndugu...!
Kwa muda sasa huduma za mtandao wa simu za mkononi wa tIGO umekuwa ukifanya vibaya na kuwa kero mno zaidi kwa watumiaji wa mtandao huo, mimi nikiwa mmoja wao!
Katika kipindi chote cha takribani...
wana jf nilikuwa nimekaa karibu na mjumbe wa kamati ya maandalizi ya harusi ya mtoto wa Kova, anasema kova iko pesa imeandaliwa milioni 100 kwa ajili ya harusi hiyo na wamealikwa vigogo akiwemo na...
Kutokana na kuwepo kwa magazeti yanayoandika habari za uzushi na propaganda badala ya kuandika habari zenye tija kwa nchi yetu ni muda muafaka sasa wasomaji wayasuse ili yatoweke sokoni. Hata kama...
Wakuu:
Kwa mujibu wa Taarifa za matukio RFA Kamanda wa polisi mkoani Kagera Philip Kalangi Chanzo cha Askari polisi kumpiga risasi Raia wilayani Ngara ni baada ya rai huyo kumchomolea kisu na...
Gazeti la nyakati limenishangaza sana kuhusu habari kwamba mtataba kati ya waislamu na waziri mkuu wa kenya na mgombea urais bwana Raila Odinga umemponza waziri Magufuli mimi nimeshangaa sana...
Polisi kitengo cha kuzuia Dawa za Kulevya nchini, wamekamata dawa za kulevya za aina mbalimbali zenye uzito wa kilo 55,285 katika maeneo tofauti ya nchi tangu Januari hadi Desemba 15, mwaka huu...
ndugu zangu wanajamvi muda mchache umepita tangu tulipopata taarifa za kukamatwa kwa meno ya tembo na pembe zikiwa zimebebwa kwenye meli iliyozaniwa inamilikiwa na abdulrahman kinana katibu mkuu...
wananchi wa bagamoyo kata ya zinga wametishia kurudisha kadi za ccm ikiwa serikali ya ccm itashindwa kutatua mgogoro wa ardhi wa eneo hili uliodumu kwa miaka 20 sasa.
wananchi hawa wamesikika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.