wana jf nilikuwa nimekaa karibu na mjumbe wa kamati ya maandalizi ya harusi ya mtoto wa Kova, anasema kova iko pesa imeandaliwa milioni 100 kwa ajili ya harusi hiyo na wamealikwa vigogo akiwemo na rais Kikwete kwenye harusi hiyo mpaka nimeshangaa kwa mtumishi kama Kova hiyo harusi kughalimu milioni 100. Katoa wapi hizo pesa hata kama ni michango je inaweza fika milioni mia moja kughalamia hiyo harusi...
Kazi kweli kweli
Kazi kweli kweli
