The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 122
Heshima mbele, kuna tetesi zisizo rasmi kwamba JWTZ wanataka kuajiri watu wenye taaluma ndani ya jeshi hilo, kwa nafasi za maofisa mbalimbali.
Wana JF mliondani ya system, hebu tupeni nyepesi ili tujipange mapema na kazi za ujenzi wa taifa kupitia nyanja hiyo.( maandalizi ya mazoezi ya viungo)
Itafute kazi kabla haijakutafuta....
Wana JF mliondani ya system, hebu tupeni nyepesi ili tujipange mapema na kazi za ujenzi wa taifa kupitia nyanja hiyo.( maandalizi ya mazoezi ya viungo)
Itafute kazi kabla haijakutafuta....