Makampuni ya kichina yaangaliwe

Kyenju

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
4,555
1,500
Miongoni mwa makampuni yanayopata faida nyingi ni makampuni ya ujenzi. Nimeleta uzi huu kwasababu nimekuwa malalamiko kutoka kwa watu wanaofanyakazi kwenye makampuni ya kichina, mala nyingi wamekuwa wakilalamika kwa kitendo cha kulipwa malipo kidogo, kufanyakazi kwenye mazingira magumu, kufanyakazi kwa muda mrefu bila mikataba ya kazi fikiria mtu anafanyakazi miaka 5 au 7 hana mkataba wa kazi hana uhakika wa matibabu hana mafao baada ya kazi. Kuna kampuni moja nitaitaja hii kampuni ni CCECC wananyanyasa san
 

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,212
2,000
Those guys have to stand for their rights if at all they know whats supposed to be their due.

Bila kuungana watakuwa wanacheza. Kulalamika mmojammoja ni rahisi kuundiwa zengwe na kutimuliwa.
Waandamane mbele ya media na kuwafungia hao waajiri-mbuzi kitaeleweka fasta.
 

Kyenju

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
4,555
1,500
Those guys have to stand for their rights if at all they know whats supposed to be their due.

Bila kuungana watakuwa wanacheza. Kulalamika mmojammoja ni rahisi kuundiwa zengwe na kutimuliwa.
Waandamane mbele ya media na kuwafungia hao waajiri-mbuzi kitaeleweka fasta.

Mkuu mimi kuna kijana mmoja alinipa habari hiyo nimefika na kuhakiki mambo haya, walio wengi wanaogopa kufukuzwa si unajua mala nyingi wanakuwa ni vijana wenye elimu ndogo wanaogopa kufukuzwa.
 

Nyanidume

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
2,357
2,000
Inauma sana wakuu, ila mi lawama zangu nazielekeza kwa serikali kwa kuzidiwa nguvu na hao wachina!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom