Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Umasiki ni mbaya sana swali langu kila siku ni kwa namna ipi nzuri ambayo itanitoa kwenye janga hili la umaskini? Karibuni kwa mawazo?

Mkuu
Njia za kutoka kimaisha ziko nyingi ILA YENYE UHAKIKA KUSHINDA ZOTE NI ELIMU YA JUU-CHUO. Ukiweza kusoma ukapata ka advance diploma au degree yaani hilo ni daraja la uhakika la kuondoka kutoka kwa wasio nacho kwenda kwa walionacho. WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WALIOSOMA