Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

RAY C ALIPOKWENDA KUMSHUKURU RAIS KIKWETE IKULU - YouTube
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wale wezi waliotajwa majuzi kuiba madini yenye thamani ya mabilioni ya Tsh wametiwa nguvuni jana na police wakisadiana na raia kwa namna ya pekee! Wezi hao wamekamatwa katika kijiji cha jirani...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kwa sasa naomba tuichukulie kama Tetesi. Nimepata taarifa za ndani kuwa aliyekuwa KAIMU Mhariri mtendaji wa Daily News kwa zaidi ya miaka mitatu sasa Mkumbwa Ally ameondolewa katika nafasi yake...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
kuna taarifa zinaendelea kusambaa kuwa daktari bingwa wa upasuaji wa watoto prof, carneiro amepoteza maisha. ikiwa ni kweli, kitengo cha upasuaji wa watoto wadogo hasa katika hospitali ya taifa ya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
GOVERNMENT WORKER WILL RECEIVE HEALTH COMPENSATION By Neal Colgrass, Newser Staff Posted Dec 17, 2012 3:59 PM CST (NEWSER) – At least in Australia, sex on the job is legally...
1 Reactions
4 Replies
898 Views
Hilo hapo juu, ni neno zito sana na lililotamalaki katika maandiko mengi ya vitabu vitakatifu. Yaliandikwa na mitume wa kweli kutokana na maelekezo waliyokuwa wakiagizwa na MUNGU. Sasa viongozi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana JF, mimi ni mkazi wa mbezi (dar) takribani wiki ya tatu sasa naona magari ya abiria yanayosanya ruti za mbezi yamekuwa shida sana sio shida kuyapanda bali hayapiti kabisa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau niko safarini toka
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii serikali imezidi sasa kwa wizi. Mtu analipia motor vehicle pamoja na fire extingusha TRA lakini ule mtungi hapewi anaambiwa anunue mtaani wakati malipo yamejumuisha hadi mtungi.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Majambazi yako yanatikisa Kariakoo mida hii, yanatumia piki piki na yanasiraha nzito za kivita, walio eneo la tukio watupe taarifa zaidi. Yameua mtu mmoja lakini majambazi mawili yaliyokuwa...
1 Reactions
59 Replies
7K Views
Hapo mwanzo Mungu aliumba ulimwengu na wanyama wake. Kila mnyama alipewa miaka ya kuishi 30. Kati ya wanyama walioumbwa walikuwa Punda, Mbwa na binadamu. Mungu akawauliza wanyama hao Je! unadhani...
1 Reactions
0 Replies
814 Views
Wakuu Habarini za asubuhi? Kwa muda wa siku kama tatu hivi kumekuwepo na thread humundani ya mauaji ya askari wawili pamoja na Raia huko wilayani Ngara MkoaniKagera lakini kumekuwepo na maneno...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwenzenu nimejaribu kufuatilia kwa umakini kwa wanaume ambao wake zao wana umri mkubwa kuliko wao, ndoa za namna hiyo zimekuwa za kuheshimiana sana, wanajaliana sana, wanatunzana sana alafu cha...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni wiki sasa tangu Dk. Kigoda atangaze kukabiliana na vidhaa feki, bidhaa nyingi zinafanana sana na original, Swali ni Je, Dk. Kigoda ataiweza? Naona wakaguzi wengi kutoka TBS hawana hujuzi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba kuwasilisha kwenu maombi ya msaada wa kujua hatua za kusajili gazeti na mahitaji yake. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Polisi mkoani Kagera inawashikiria watu 40 wa kata ya Mugoma Wilaya ya Ngara mkoani Kagera kutokana na mauaji ya polisi wawili. Tukio lililotoke juzi mchana. Wananchi hao wenye hasira kali...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Nimetumiwa hii kitu...... Dear Sir/Madam, Information reaching Police formation indicates that: There is a syndicate of criminals selling beautiful key holders at Petrol Stations. They...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf, napenda kujua kama kuna mtu ana habari za mtunzi maarufu wa zamani kidogo wa riwaya aitwaye JORAM KIANGO, na vitabu vyake vinapatikana wapi.
0 Reactions
83 Replies
22K Views
Hivi hili wimbi la wizi wa vifaa vya magari mbona linazidi kuongezeka kila kukicha? Hawa watu wanaofanya ushenzi huu wanajulikana na hata vijiweni kwao wanaeleweka, kwanini polisi hawachukui...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom