Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau naomba msaada kwa wenye uzoefu kuna Gari aina ya RAUM ya mwaka 1997 nataka kuiagiza kutoka JAPAN kwa hawa jamaa wanaitwa TRADE CAR VIEW bei ya gari nimeona ni $ 785 CIF Dar es salaam with...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Wanajamii hivi ni watu wangapi madhubuti ambao wanatakiwa hata kama tutakuwa tunapigania chama fulani kichukue nchi wasije wakatuangusha
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Mimi n kjana wa chuo kikuu mwaka wa 3, nataka niachane na masomo yangu ya biashara nikasome masomo yanayohusu gesi Mtwara, ombi langu,masomo gani inaitajka, chuo gan wanafundsha, uchimbaji utanza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natumai mko fiti wanajf wote, Awali ya yote nawatakia sikukuu njema ya XMASS na mwaka Mpya mwema. Ila nina jambo nataka kuwashirikisha kipindi hicho cha mwisho wa mwaka huu 2012 Si kila mtu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naombeni mnisaidie jinsi gani naweza kujua kiasi cha mafao niliyochangia ktk mfuko wa hifadhi ya jamii PPF, kupitia SIMU YA MKONONI au INTERNET. Niliwahi kuona mahali kuna namba ya kutuma...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Serikali haina budi kuhairisha kuzima mitambo ya analogue hadi hapo kero la vingangamuzi limepatiwa uvumbuzi hususan: - upatikanaji wa free to air channels - kukwamaa(picture freeze) au...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Monday, December 17, 2012 Bwana harusi Emmanuel Mwangosi akiwa na mkewe Magreth Mtebe mara tu baada ya kufunga pingu za maisha jana katika kanisa la Agape jakaranda jijini mbeya Hii ndiyo...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kada wa CHADEMA na Mbunge Mtarajiwa wa Simanjiro,James Ole Millya leo anaapishwa rasmi na Jaji Mkuu wa Tanzania,Mohamed Chande Othman kuwa Wakili wa kujitegemea. Kuapishwa huko kunafanyika...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
ELEZA NI TAJIRI GANI,WAPI,NA NAMNA ANAVYOKWEPA KULIPA KODI.JE ANA TIN NAMBA KAMA ANAYO ITAJE.NA NI VIZUR TUJUE KIPATO CHAKE KWA MWEZI NA MWAKA.Tuwe wazalendo tuisaidie serikali.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Angalizo: Mods kwa hekima mnaombwa msiiamishe thread hii wala kuichanganya na nyingine yoyote. Itakuwa posted kwenye majukwaa yote makuu ili kila member anayependa kushiriki awe anafahamu na hivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana jamvi naomba mwenye majibu ya maswali haya
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Usafiri wa segerea mwisho ni wa kusikitisha sana. Huwezi amini Daladala zinawakimbia abiria na mbaya zaidi ni asubuhi ndo wanafanya hicho kituko. Japo kuna kituo bora sana pale lakn magari...
0 Reactions
3 Replies
985 Views
I thought I should share this with you guys.
1 Reactions
0 Replies
774 Views
Tunakaribia kusheherkea siku ya mzingira duniani kuna swali moja najiulizaga kila siku kuona viongozi wanapanda miti siku hiyo. Maana nijuavyo mm mazingira yanahusu pia kumaneji takangumu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Polisi kituo cha mlimani chini ya ocd Leah, wanamnyanyasa huyu dada. Ushahidi upo wazi, wanasema upelelezi bado unaendelea hadi leo 16/12/2012, kesi haipelekwi mahakamani, watuhumiwa wapo nje na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa utafiti uliofanyika ni vyuo vyote hasa UDSM wakifuatiwa na MZUMBE na UDOM. huko ndio soko la uhakika la magazeti haya ya udaku . harafu soko lingine la uhakika ni uswahilini........sasa swali...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
....Mods; this is not intended to be an insult to anyone, rather as a way for those using their brains appropriately to give their honest opinions. I saw this debate somewhere (an the members are...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WanaJf habari za asubuhi Leo nimeona nilete dukuduku langu baada ya kuumia kwa miezi mitatu hivi Zamani mimi ambaye naishi na mwenzangu tulikuwa tunatumia umeme wa 10,000 kwa mwezi na...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Ndg wanajamii. nahitaji kununua GalaxyTab Sumsung Model: GTP1000M Vp iko poa?. Maoni pls
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya soko la ajira kwa wahitimu wengi wa vyuo vikuu kuwa ni gumu imeibuka kauli ya kuzoeleka kwa viongozi hasa wa kisiasa wanapoongea na wasomi hawa na kuwashauri eti mjenge mazingira ya...
0 Reactions
4 Replies
987 Views
Back
Top Bottom