Nyakati: Mkataba wa waislamu na Odinga wamponza Magufuli

Boko haram

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
3,253
1,229
Gazeti la nyakati limenishangaza sana kuhusu habari kwamba mtataba kati ya waislamu na waziri mkuu wa kenya na mgombea urais bwana Raila Odinga umemponza waziri Magufuli mimi nimeshangaa sana kwani mtu akiamua kuwapa jamii fulani haki kuna tatizo gani lakushangaza zaidi ni chama cha chadema kulalamikia hili suala la magufuli sasa ukiangalia hili suala la gazeti hili la nyakati nachadema kuna kitu hapa katikati, Mbona cha cha Chadema kinashirikiana na CDU watu wamekaa kimya ninani mdini hapa?
 
Kama inawezekana iweke habari kama ilivyokuandikwa na gazeti la nyakati,alafu chini yake weka mtazamo wao,hasa ujikite zaidi kwenye uhusiano kati ya ukristu,magufuri,ODM,Raila,waislamu wa kenya na Chadema.Maana inaonekana unauwezo mdogo sana wa ku "summarize" mambo!!
 
Unakuwa mdini mpaka hueleweki unachotaka kusema watu wakuelewe"Bora umpokee Yesu
akuokoe usaidike"
 
Gazeti la nyakati limenishangaza sana kuhusu habari kwamba mtataba kati ya waislamu na waziri mkuu wa kenya na mgombea urais bwana Raila Odinga umemponza waziri Magufuli mimi nimeshangaa sana kwani mtu akiamua kuwapa jamii fulani haki kuna tatizo gani lakushangaza zaidi ni chama cha chadema kulalamikia hili suala la magufuli sasa ukiangalia hili suala la gazeti hili la nyakati nachadema kuna kitu hapa katikati, Mbona cha cha Chadema kinashirikiana na CDU watu wamekaa kimya ninani mdini hapa?
Poor presentation!
prempted!
Unaongozwa na hisia kuliko kutoa information kwa jamii!
 
Kuwa makini na taarifa za magazetin,yafanyie uchunguz wa kina ndio uje na thread yako.
 
hujaeleweka bado, je unataka kusemaje?
Gazeti la nyakati limenishangaza sana kuhusu habari kwamba mtataba kati ya waislamu na waziri mkuu wa kenya na mgombea urais bwana Raila Odinga umemponza waziri Magufuli mimi nimeshangaa sana kwani mtu akiamua kuwapa jamii fulani haki kuna tatizo gani lakushangaza zaidi ni chama cha chadema kulalamikia hili suala la magufuli sasa ukiangalia hili suala la gazeti hili la nyakati nachadema kuna kitu hapa katikati, Mbona cha cha Chadema kinashirikiana na CDU watu wamekaa kimya ninani mdini hapa?
 
We hiyo thread yako ni ya kuchonganisha jamii ,jifunze kuelezea kitu ueleweke!. Sawa!
 
mtoa mada, hebu anza upya hatua kwa hatua maana kuna wengine hilo gazeti hatujalisoma.
 
Gazeti la nyakati limenishangaza sana kuhusu habari kwamba mtataba kati ya waislamu na waziri mkuu wa kenya na mgombea urais bwana Raila Odinga umemponza waziri Magufuli mimi nimeshangaa sana kwani mtu akiamua kuwapa jamii fulani haki kuna tatizo gani lakushangaza zaidi ni chama cha chadema kulalamikia hili suala la magufuli sasa ukiangalia hili suala la gazeti hili la nyakati nachadema kuna kitu hapa katikati, Mbona cha cha Chadema kinashirikiana na CDU watu wamekaa kimya ninani mdini hapa?

Mumiliki wa Nyakati anaitwa Ayub Mwakang'ata ni mtu wa CCM na anatuhumiwa na wizi 3.8bls kule JKT kesi ipo kisutu>
Anold ambaye ni mhariri ni muumini wa Momono dini ya mgombea wa Marekani aliyeshindwa urais.
 
Hiyo habari uliisoma yote, ulisoma kichwa cha habari, au ulisimuliwa?
 
Gazeti la nyakati limenishangaza sana kuhusu habari kwamba mtataba kati ya waislamu na waziri mkuu wa kenya na mgombea urais bwana Raila Odinga umemponza waziri Magufuli mimi nimeshangaa sana kwani mtu akiamua kuwapa jamii fulani haki kuna tatizo gani lakushangaza zaidi ni chama cha chadema kulalamikia hili suala la magufuli sasa ukiangalia hili suala la gazeti hili la nyakati nachadema kuna kitu hapa katikati, Mbona cha cha Chadema kinashirikiana na CDU watu wamekaa kimya ninani mdini hapa?
Tatizo lenu nyinyi ndugu zetu mnadhani mnayoyawaza na kuyapanga huko kwenye vikao vyenu, ndio kila mtu ana akili hizohizo! Ukristo haujawahi wala hautawahi kutetewa na vikao vya vijiweni! Ukristo umejengwa juu ya jiwe KUU LA PEMBENI WALILOLISAHAU WAASHI (KRISTO)!Ndio maana hauteteleki, hauhitaji kutetewa, hata ukiupinga hautafanikiwa na hakuna aliyefanikiwa, hauhitaji watetezi bali washuhudiaji sababu unamtetezi tayari aliyekufa msalabani! Tatizo lenu mnatafuta ugomvi na watu ambao hawana mpango wa kugombanaa na ninyi, sisi tumefundishwa na kuamrishwa kuwapenda na tutaendelea kuwapenda sababu nyinyi ni ndugu zetu ila tatizo ni SHETANI in between ambaye amewafunga ufahamu!
 
Waislam wa kenya wanajitambua ndio maana katiba inawatambua eg kadhi,ndoa ya wake wengi,oic!watz tunaichekea CCM-BAKWATA
 
Back
Top Bottom