Msoma dondoo-za magazeti wa redio free afrika.inayomilikiwa na kada wa ccm bwn A.Diallo,leo kanishangaza kweli,kaanza kusoma hbr katika gazeti la habari leo upande wa mhariri akimnukuu,kadinal...
Habari za kusikitisha zilizonifikia kwa sasa ni kuwa Polisi wawili wameuwawa kwa kukatwakatwa na mapanga na wananchi baada ya kumuua mwendesha pikipiki katika eneo la Mgoma-Ngara-Kagera.
Baada...
Makamu wa Rais,DrGharib bilali amewataka waislamu nchini kuweka juhudi zaidi katika elimu ya dini pamoja na elimu dunia ilikuepuka matatizo mengi yanayosababishwa na ukosefu wa elimu...
Madakitari waliojihusisha na mgomo uliotingisha nchi, wameitwa na kuhojiwa kisha wengine kupewa adhabu mbalimbali na wengine kufukuzwa kabisa.
Je, Dr. Ulimboka na viongozi wengine watapata...
A little boy came up to his mother in the kitchen one evening while she was fixing supper, and handed her a piece of paper that he had been writing on.
After his Mom dried her hands on an apron...
Kila mwanaadamu ana makosa yake na sisi viongozi
ni wanaadanu kwa hio tumefanya makosa,lakini
tumesoma na tunajaribu kukisawazisha kile
ambacho kimekosewa na wazazi wetu na viongozi
wengine...
THURSDAY, DECEMBER 13, 2012
UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA UMEANZA KUFANYA KAZI LEO NDEGE ZAIDI YA TATU ZATUA UWAJANI HAPA
ABIRIA AKISHUKA TOKA NDANI YA NDEGE ZILIZOTUA UWANJANI HAPO...
Shirika la UMEME TANESCO nimepata faida ya TZS 120 BLN kabla ya kodi kwa kipindi cha miezi 9 ya mwaka 2012.Taarifa ya EWURA na Wizara zinabainisha hivyo ni kutokana na kupanda kwa gharama ya umeme...
Leo nimeangalia taarifa ya saa 2 TBC!! Msomaji alikuwa anatumia tablet ndogo kweli ya kichina. Nadhani wameiga kwa ITV na BBC ambapo watangazaji wake hutumia ipad. Mtangazaji wa TBC ameteseka sana...
Wanandugu wa JF heshima mbele
Wamarekani na wazazi wote poleni kwa yaliyotokea shuleni kwenu
Back to topic:
Wadau hivi hii tabia hasa ya Obama kulia lia au kutoa michozi hadahrani, kwanza kama...
Wadau napenda kuuliza leo nipo gizani nimejaribu kununua umeme tigo pesa na M-pesa, lakin sipati Max malipo wanasema network inasumbua. Anayejua kuna nini huko anijuze kwani sijui tatizo...
JIJI LA MBEYA LINAZIDI KUKUA NA AJALI ZINAONGEZEKA HII NI AJALI YA PIKIPIKI NA GARI AINA YA GX 100 IMETOKEA ENEO LA MAFIATI MBEYA KISA CHA AJALI MWENYE PIKIPIKI AMEINGIA BARABARA KUU BILA YA...
ndio wabongo ni watu dhaifu kumbe ni ugali unasababisha! chukulia gramu 100 za kilachakula
mchele- nguvu ni 1528kj, protini 7g, mafuta 0.5g, wanga 80g, madini chuma 4mg
mahindi-nguvu 360kj...
Wakati mheshimiwa rais anazindua nyumba za NHC Kibada alizungumzia kuhusu riba za mabenki kuwa kubwa hivyo kuyataka mabenki hayo kupunguza riba zinazotozwa kwenye mikopo inayotolewa. Kwa uelewa...
SATURDAY, DECEMBER 15, 2012
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoa wa Katavi,tayari kwa ziara yake ya kikazi katika jimbo la Katavi kukagua shughuli za...
Jamani hii Taasisi ya Police Tanzania siilewi kabisa. Naiita Taasisi maake mi siamini kama ni Jeshi kama wanavyojiita. Jana nilikuwa ndo naingia katika Gate la leaders club kumshuhudia mzee wa...
Matukio yanayolikuta Jeshi la Polisi na yatakayatokea ni kutokana na matukio ya kutotenda haki wanayoyafanya kwa raia. Ili kusahihisha makosa hayo na kutubu ni muda muafaka sasa waanze kutenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.