Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nanukuu kutoka facebook page ya UAMSHO... "TANGAZO LA KIFO JUMUIYA YA UAMSHO INATANGAZA KIFO CHA MTOTO WA SHEIKH MSELEM ALI KILICHOTOKEA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA LEO JIONI. HABARI ZIWAFIKIE...
0 Reactions
39 Replies
14K Views
Friday, November 30, 2012 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimfariji Mbunge wa Jimbo la Wawi (CUF) Mhe. Hamad Rashid Mohd nyumbani kwa Mbunge huyo Mikocheni jijini...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Njia ya Mwongo ni fupi. Wiki hii na iliyopita gazeti la Mtanzania liliripoti sana habari za mgogoro kati ya Katibu Mkuu wa CHADEMA,Dr. Slaa na vijana wa Chama hicho. Kiasi cha watu wengi nikiwemo...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Gari la Falcon lenye number za usajili T847BGU linalofanya safari zake nchini Tanzania na Uganda kwa kupita mkoani Kagera ambalo limeanza safari jana alfajiri na katika majira ya saa nne...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
“We are delighted to be announcing the acquisition of Lonrho Aviation’s Fly540 business with its unique platform of hubs, fly rights and growing passenger revenue base. The combined talents of...
0 Reactions
127 Replies
12K Views
Sikuwahi kukanyaga hospital hii tangu nizaliwe, leo ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza. Hospital ni chafu, ya kizamani, vitanda na neti ni chafu sana, harufu mbaya ukiwa wodini, wagonjwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
ALIYEDHANIWA AMEKUFA KWENYE AJALI ILIYOTOKEA USIKU WA KUAMKIA JUMAMOSI AFUNGA NDOA HAKIKA MUNGU NI MKUU Bwana harusi Emmanuel Mwangosi akiwa na mkewe Magreth Mtebe mara tu baada ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
niwasalimu walimwengu, "HIVI NI KWELI KUWA HAIWEZEKANI KUTOAMINI AMBACHO UNAKIAMINI?"
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nadhani wengi wenu mtakuwa mnakumbuka jinsi watu wa Kipawa walivyohamishwa ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mwal Nyerere (Terminal III building). Nakumbuka hadi kibao chenye mchoro jinsi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakiongea kwenye mkutano wa hadhra leo kwenye viwanja vya shule ya msingi mwaka,Diwani wa kata ya Tunduma Frenk Mwakajoka pamoja na mbunge wa mbozi Magharibi Devid Silinde bila kumsahau mh. Visent...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakati Ndugu Mwema akiingia madarakani alimwagiwa sifa kemkem kama ilivyo kawaida ya wanadamu lakini kadri siku zinavyoisha ndivyo anavyozidi kuwa tatizo kwenye jamiii. Haya ni mauaji yasiyo na...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
KHRC Launches Gay and Lesbian Awards - YouTube Mtatuhabarisha zaidi Nyiwe wezetu Mmesoma na mnakwenda na wakati
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Hivi tanesco na wizara yake kudanganya hakuna mgao wakati umeme hautoshi kila siku unazimwa tena bila taarifa maanake nini? Mnaonesha dharau kubwa kwa watanzania mnawadanganya kwamba sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za nyie kwa pamojaaaaaaa!! Mapumziko ya mwisho wa mwaka ndo haya, and dys are numbered towards xmass, so kesho wadau ninajimuvuzisha kule kwa mutoto ya kiiraq, sasa kwa wanaofahamu pande za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi nadhani tuweke siasa pembeni lkn kusema ukweli kama tunataka kusaidia jamii lazima Ray C afikishwe mbele ya sheria kwa kosa la kutumia mdawa ya kulevya. Pia ataje watu wengine aliokuwa...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Wana JF naomba msaada juu ya ving'amuzi vipya vinavyo tangazwa na EATV; 1. Vinapatikana wapi 2.Mawasiliano na wahusika
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Sijui siku hizi Tanesco kuna kitengo cha kuharibu vyombo vya umeme kwa makusudi, huku Mwananyamala imekuwa kawaida kwamba lazima umeme uzimwe na kuwashwa mara kadhaa tena interval ya zima-washa ni...
0 Reactions
2 Replies
984 Views
Nimesikia tetesi nyingi mno kutoka kwa marafiki zangu wakisema UE kwa upande wa UDSM inaanza tarehe 28/06/2011, mwenye uhakika na habari hii naomba anijuze na averify.
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Wanajamii, niko Dar, sijakutana na Mwita Maranya.....ushamba umenitoka kwa sehemu fulani. nimeshuhudia matukio fulani fulani. nilifika hapa tangu tarehe 2.11.2012 nitaondoka tarehe 16.11.2012...
7 Reactions
82 Replies
12K Views
Habari wana jamvi. Naomba msaada wa kupata namba ya sim pamoja na email ya NSSF Meneja wa mkoa wa kigoma.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom