Nmesikia jina hili juu juu wakati kipindi cha powerbreakfast kinaisha wakimzungumzia. Nmesikia anahusika na wizi wa vifaa vya magari kama power window redio nk. Nlkw ktk daladala watu wanajaribu...
Hivi sasa maaskari(zaidi ya kumi) wanasimamisha magari na kushusha madereva,na kuwaambia kosa watalikuta kituoni,ni kero sana kwa abiria...ni maeneo ya KANAZI na KONA YA RULENGE.picha zitafuata punde.
Yani nimeshangaa hadi uchizi umetaka nitoka nimekata FASTJET DAR TO MWANZA NI TSHS.240,000/= NA VIJISENT KWENDA NA KURUDI LAKINI PRECISION AIR KWENDA BUKOBA -MWANZA KWENDA NA KURUDI LAKI 3 NA...
Mahakama ya Kenya Ngangari imewauhumu askari 9 kwa hukumu ya kunyongwa mpaka kufa baada ya kutumia nguvu kubwa katika vulugu za madriver Taxi na mauwaji yalitokea sorce: citizet TV
The superpower is history. Thats according to a US report that says no one country will hold sway in global politics by 2030. Instead, America will be one of several equal powers and China will...
Wabunge kuteuliwa mawaziri ni sawa na mlalamikaji kuwa shahidi wa mshtakiwa. Kwa nyovyote lazima watenganishwe ili serikali iweze kuwajibishwa na wananchi kupitia wabunge wao wanaowawakilisha.
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Filauni.Uongozi wa CCM Tabora unawatumia vijana 60 hawa wasomi SAUT kwa kuwapeleka kula bata Serengeti mbugani kuona wanyama kuanzia Dec 22,2012.Cha...
Kumetokea ajali mbaya mteremko wa kibamba ikihusisha gari tatu, coaster 2 na corolla. Coaster zimegongana uso kwa uso. Moja ilikuwa inatoka Dar kwenda Msata. Nyingine inatoka Kbh kwenda Dar
MKUU wa Mkoa wa Arusha Magessa Mullongo amzawadia TUZO ya Uandishi Bora wa habari za Jamii na Maendeleo Meru Mwandishi wa habari Mary Mwita wa Gazeti la Mtanzania
Magessa alitoa kwa uongozi wa...
Wiki hii vyombo vingi vya habari hususan
magazeti yameripoti vifo vya watu waliokufa kutokana na njaa katika Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro (NCA). Mbali na vifo hivyo kuripotiwa lakini pia kuna...
Wanajamvi hebu tujadili maana halisi ya maendele ni nini? Ilitutafute haya maendeleo halisi tunayoyahitaji badala ya watu wachache kutudanganya kwa masilahi yao. Je maendeleo ni MAGOROFA, MAGARI...
Wana JF,
Kwa mujibu wa kipindi cha matukio cha radio free Afrika leo asubuhi, Diwani mmoja wa viti maalum (Chama hakijatajwa) alikamatwa na polisi ati kisa kamtelekeza mtoto mchanga Bar. Taarifa...
Duh, mbona imekuwa tabu jamani! Mwenzenu kila nikimmaind demu na nikaanza mishe mishe ya kumtokea, nakumbuka ukimwi na hapo appetait hushuka ghafla mpaka 0 degree. Wenzangu yanawapata haya na ni...
Duh, jamani mwenzenu natatizwa kweli. Kila nikimmaind demu na kuanza mikakati ya kumtokea, mara linakuja wazo la ukimwi. Mnh, ghafla apetait inashuka mpaka -20 degrees. Mweee! Wenzangu...
Habari wadau
Wataalamu wa afya nchini wametaadharisha kuwa mabusu kwa watoto wadogo wenye umri wa chini ya miaka 5 kuwa inasababisha kupata magonjwa kama NIMONIA inayoua watoto zaidi ya 15000 kwa...
Naibu Meya abanwa uchafu Dar
na Shehe Semtawa
Tanzania Daima
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Terezya Huvisa, amembana Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Abdallah...
Duh, mbona imekuwa tabu jamani! Mwenzenu kila nikimmaind demu na nikaanza mishe mishe ya kumtokea, nakumbuka ukimwi na hapo appetait hushuka ghafla mpaka 0 degree. Wenzangu yanawapata haya na ni...
Kuna haja wanaotayarisha magazeti wazidi kuwa makini wakati wanapochapisha matoleo yao, leo nimesoma gazeti la NIPASHE lina kichwa cha habari kinachosema ''Majambazi yatikisa Dar ...yapora milioni...
Wana jamvi,
Wafanyakazi wa muda walokuwa wakiingiza data kwenye kituo cha data processing (Kilichopo Tanita - Kibaha) kwa ajili ya data za sensa ya watu na makazi ilofanyika Mwezi Agosti mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.