adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,949
- 5,399
Nmesikia jina hili juu juu wakati kipindi cha powerbreakfast kinaisha wakimzungumzia. Nmesikia anahusika na wizi wa vifaa vya magari kama power window redio nk. Nlkw ktk daladala watu wanajaribu kujadili wanaendelea kutaja hilo jina 'Rama Jangili' nmebaki kujiuliza ndo nani huyu jamaa?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums