Wakuu kwanza niombe radhi kwa kuchelewa sana kuileta hii taarifa hapa Jamvini. Tarehe 15.12.2012 saa moja asubuhi kuna gari lilipita eneo la Tabata Relini likiwa limepakia mzigo (Abnormal Load)...
Tanzania ni moja ya nchi za afrika mashariki, zitakazozifungia simu zote za bandia ambazo nyingi ni za kichina kwa kuzizima kabisa.Taarifa hiyo ilitolewa na kaimu meneja wa mawasiliano wa mamlaka...
Jana niliomba ruhusa ya kuchelewa kazini nikakataliwa lakini boss anajua kwamba mm leo lazima niende kusikiliza atima ya kamanda lema nimejaribu kujizuiya nimeshindwa kuna uwezekano mkubwa...
Ule utapeli unaohusisha vijana wa kitanzania mwingine ana rafudhi ya kihaya anajiita Josepph Martin na Mwingine mbantu anaejifanya Mzungu (Mjerumani) unaendelea kwa staili ile ile ya kukupigia...
Hii ni kauli ya waziri wa michezo, habari na burudani akionyesha furaha yake juu ya ujio wa "WAZUNGU" toka klabu moja ya England eti kusaidia kuinua kiwango cha michezo Tanzania ! Hoja yangu ni...
Watu wawili raia wa-Kisomali wameuawa na majambazi walikuwa wanaelekea bank kupeleka hela ila jambazi mmoja amekamatwa ndio huyo. Kama mtu unajua uliibiwa chochote nenda pale polisi kawe...
Hivi huu upumbavu wa karandinga la polisi kupita hapa mjini Arusha na kupiga honi kwa mfululizo bila dreva kujali madereva wengine na kuwasumbua wakazi wa jiji hili utaisha lini? Hili huwa...
Vjana tujiulize ni faida gani tunaipata binfsi ktk mapambano yetu ya ukombozi wa taifa hili,Au hasara gani wataipata watanzania wanyonge ktk jamii yako kwa chama dhalimu kuendelea kutawala?
Jamani mi mwananchi wa kawaida nisaidieni,Hivi napo toka visiwa vya Unguja kuja tanganyika Napofika pale Bandari salama nikalipishwa ushuru wa kifa au bidhaa nlonunua huko visiwani Hii ina maana...
Ajali imetokea hapa Maeneo ya Kingorowira Morognro. Basi la Zuberi no.1 , T642 AWE likitokea mwanza limemgonga mwanamke na kupoteza maisha hapo hapo. Source ,.mimi mwenyewe nipo eneo la tukio.
Siku chache zilizopita niliandika humu jamvini kusifia Pride FM ya Mtwara kwa jinsi wanavyotangaza.
Leo nakuja tena kuisifia Ebony FM ya Iringa kutokana na jinsi mada za matangazo yake...
Ni ya mkoa wa DAR.
Inapendeza sana jinsi foleni na misongamano ya magari ilivyopungua.
Wale kina meku, nshomile na wengineo waliolikacha jiji kipindi hiki wasiruhusiwe kurudi tena DAR waanzishe...
Mapya yameendelea kuibuka kufuatia madai kuwa vifo vya watu watatu wakiwamo polisi wawili wilayani hapa vimetokana na askari hao kukusanya kwa nguvu mapato ya serikali.
Habari kutoka ndani ya...
Kuna kijana moja ambae kusema kweli anaumwa upande wa usoni, mdomoni cjui km mdomo wake unafunga akika huyo kijana anaomba msaada maeneo ya Ubungo mataa na cyo kwamba ameanza leo nakumbuka mwaka...
Wana jamvi
Yamesemwa mengi mema na mabaya kuhusu mimi Absalom Kibanda. Wengine tena wana habari na wakiwamo wahariri wenzangu, wakitumia kivuli cha majina bandia wakafikia hata hatua ya kutoa...
Many historians will perhaps say that the president has not been particularly good with reading speeches. But they may have a different verdict when it comes to his off-the-cuff remarks. Let's...
Wana JF naomba msaada kwa yeyote mwenye jawabu kwa yafuatayo...
Wakazi wa majumba ya CDA Iringa road wanatakiwa kuhama ati kupisha matengenezo, swali watu hao wataishi wapi ??? kipindi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.