..Morogoro Road:Folen imeanzia Resort Sheli..

..Morogoro Road:Folen imeanzia Resort Sheli..

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
kutokana ujenzi wa Barabr unaoendelea Morogoro Road,leo foleni imevunja Record inakaribia kufika Kimara...
Huu mnyonyoro ni toka ubungo to Resort....
 
serikali na wahusika inabidi wafanye utaratibu. Bse no one care, na hii barabara haiishi leo wala kesho
 
Wajenzi wako bize wanataka wamalizie visehemu vilivyochimbwa ili wawahi likizo ya x-mas wanayoianza 22/12
 
Naamini kuwa waliopewa dhamana ya kutengeneza barabara hiyo Pamoja na mshauri wake bila kumsahahu mwenye mradi hawana utaratibu mzuri wa "manage Traffic"
 
Business as usual - mangapi yamepita hapa Tanzania na tukasahau maisha yakaendelea?
 
Pole sana, mi pia imenikuta. Nilipofika Kibo nikaamua kupita Msewe huko pia hakufai kwa matope na magari yanakwama
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Poleni.
Tusubiri na tuone kama ule usemi wa 'mvumilivu hula mbivu' utakuwa kweli!
 
ule mbivu Tz kwa uvumilivu? Jiandae kula mbovu ndugu.

Hah hah hah! Ila mimi sipo pessimistic kiihivyo. Matatizo ya Tanzania yanasababishwa na watu na sio nchi. Hawa watu tutawaondoa kwa kura au Mungu atawaondoa na watakaa wengine wenye uzalendo wa nchi yetu
 
Poleni.
Tusubiri na tuone kama ule usemi wa 'mvumilivu hula mbivu' utakuwa kweli!

ndugu yangu mbivu hakuna. Tulipogundua gesi songosongo tuliambiwa mgao wa umeme utakuwa historia na umeme utashuka bei, kiko wapi? Na hiyo barabara tunaambiwa foleni Dar itakuwa historia (alisema JK pale Manzese alipotembelea huo mradi). Mimi sioni kama itakuwa historia au labda sielewi vizuri maana ya neno Historia.
 
Nami imenikuta,nimefika ofcn saa 2.50 ili hali mbezi nimetoka 12 asbh.nasikia barabara itakamilika 2015 wakati wa kampeni so tukubaliane na hali ila tunaomba traffic wanaokaa pale ubungo watumie utaalam wao kutuokoa na hiyo foleni.
 
ndugu yangu mbivu hakuna. Tulipogundua gesi songosongo tuliambiwa mgao wa umeme utakuwa historia na umeme utashuka bei, kiko wapi? Na hiyo barabara tunaambiwa foleni Dar itakuwa historia (alisema JK pale Manzese alipotembelea huo mradi). Mimi sioni kama itakuwa historia au labda sielewi vizuri maana ya neno Historia.

Sijamaanisha kwamba hizo mbivu zitaletwa na kauli za wanasiasa. Ninachosema, labda hiyo barabara inaweza ikapunguza kwa kiasi fulani tatizo la foleni katika hiyo njia. Sema huu ujenzi hautakiwi kuchukua muda mrefu.
 
ilishawahi kufika kimara stopover. ilikua mwaka 2009
 
Back
Top Bottom