Ngomaphobia...!

Ngomaphobia...!

Museven

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2011
Posts
629
Reaction score
452
Duh, mbona imekuwa tabu jamani! Mwenzenu kila nikimmaind demu na nikaanza mishe mishe ya kumtokea, nakumbuka ukimwi na hapo appetait hushuka ghafla mpaka 0 degree. Wenzangu yanawapata haya na ni lini tutafaidi chakula hii freely bila hofu?
 
Pale utakapooa mwanamke anayempenda MUNGU na kujiheshimu. Na wewe utakapotulia kwenye ndoa yako.
 
Duh, mbona imekuwa tabu jamani! Mwenzenu kila nikimmaind demu na nikaanza mishe mishe ya kumtokea, nakumbuka ukimwi na hapo appetait hushuka ghafla mpaka 0 degree. Wenzangu yanawapata haya na ni lini tutafaidi chakula hii freely bila hofu?

Hivi JF imevamiwa na viumbe gani?? Sasa hii nayo ni mada kweli? Narudia tena. Kama huna cha kuandika, sio lazima uandike. Kaa kimya. Tulia. Nyamaza kabisa. Andikeni mada zenye mashiko. Hii tabia ikome mara moja. Tunajaza thread zisizo na mbele wala nyuma. Msitupotezee muda wetu hapa.
 
Back
Top Bottom