MKUU wa Mkoa wa Arusha Magessa Mullongo amzawadia TUZO ya Uandishi Bora wa habari za Jamii na Maendeleo Meru Mwandishi wa habari Mary Mwita wa Gazeti la Mtanzania
Magessa alitoa kwa uongozi wa Halmashauri ya Meru kuwa jina la Mwandishi wa habari Mary kwani amekuwa akiandika habari bila kupotosha jamii
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru alisema Mwanidishi Mary,anaandika habari bila kupotosha.
RC wa Arusha Magessa Mullongo amzawadia TUZO ya Uandishi Bora wa habari za Jamii na Maendeleo Meru Mwandishi wa habari Mary Mwita wa Gazeti la Mtanzania
Magessa alitoa kwa uongozi wa Halmashauri ya Meru kuwa jina la Mwandishi wa habari Mary kwani amekuwa akiandika habari bila kupotosha jamii. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru alisema Mwanidishi Mary,anaandika habari bila kupotosha.