Hatari;mabusu kwa watoto

Hatari;mabusu kwa watoto

Baba mtata

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
280
Reaction score
40
Habari wadau
Wataalamu wa afya nchini wametaadharisha kuwa mabusu kwa watoto wadogo wenye umri wa chini ya miaka 5 kuwa inasababisha kupata magonjwa kama NIMONIA inayoua watoto zaidi ya 15000 kwa kila mwaka na wakashauri kama mtu anataka kumbusu ahakikishe ananawa uso kwa sabuni na hasa maeneo ya mdomo kabla hajambusu mtoto.nawasilisha
Source habari leo
 
haijalishi unambusu wapi? taarifa hiyo umepata hivyo zingatia. tena sie wenye watoto tuwafundishe kukataa kupigwa mabusu hovyo hovyo.
 
Mbona unauliza swali la kitoto sana inaonekana unawaza hayohayo unayoyafikiria kwa kichwa tubadilike wapendwa
 
Back
Top Bottom