duh! ilikuwa ni saa ngapi kwanza mwenzenu?
ila darajani kibamba ni eneo baya sana kwani linaajali za mara kwa mara sababu zaweza kugawanywa sehem mbili.
ajali za malori, mafuso etc, hizi hutokea kwasbabu ya yale matuta yaliyoko kabla ya daraja na baada ya daraja. kwani gari kubwa hushuka kwanguvu ambayo inataka ikapandie kilima on the other side sasa akiwa kwenye hiyo spidi hulazimika kuipunguza ili apande tuta, kisha kisha aongeze kupanda kilima but b4 inabidi apunguze tena spidi ili avuke jingine.
sasa anahitajika kuweka nguvu ili apande kilima unakuta ni pale katikati ya kilima so hili huletea gari kushindwa kupanda kwa kukosa nguvu na kuanza kurudi nyuma ama kukwama. kinachotokea hapo gari lilikwama lazima gari dogo lijilengeshe ama lori kwa kukosa break.
magari madogo mengi husababisha ajali kwa kuovertake simply kwa kuogopa kuwa nyuma ya lori ama haraka ya kutaka kupita sasa hapa daladala huovertake kushoto mara nyingi, na kwa upande wa kulia utakuta magari madogo yanapita huku magari yaendayo kibaha yakiwa yanataka kupita na mengine kwa spidi kali na ndo maana yanagongana uso kwa uso.