Kuna mwana ni Askari constable ila ni Kidato cha 6 ila ananiambia huko kunalipa sana kwa sababu yeye yupo kwenye Malindo ya bank kila siku na anaingiza chochote kuliko hata uhamiaiji.
Anasem...
Awamu hii nimejiona ufinyu wa akili za baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu, ufahamu na uelewa wao ni tatizo kubwa kwa watu ambao wanawaongoza; kwamba RAISI akiwa Muislamu, akifanya makosa...
1. Waziri mkuu
Mwigulu Nchemba
Huyu amewekwa kufanya propaganda za utamaduni wa Magufuli ili wananchi wawe na Imani na Serikali
Hapa tutarajie ziara za kushitukiza na tumbua tumbua nyingi
2...
Shalom shalom
Salam alaikum
Tusikubali udini ukatutafuna.
Padri akibaka tusiseme ukirsto haufai
Sheik akila akiua tusiseme uislam tuukatae
Dini zote ni za Mungu wanaoziharibu ni binadam
Mimi niko Zanzibar, huku hali ni mbaya kuliko hata bara, hakuna utaliii Zanzibar tokea vurugu zianze bara na sababu ni hii, hakuna wataliii wanaotokaga makwao kuja TZ kwa ajili ya kwenda Zanzibar...
Balozi wa kujitolea Muingereza Mtanzania Bongo zozo anatakiwa kuturudishia hela zetu alizoturubuni kuwekeza kwenye Crypto na Bitcoin.
Soko la Crypto na Bitcoin sasa hivi limeshuka na linaendelea...
Padre Prosper Kessy (OFM Cap) kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha video akieleza ni kwa namna gani mtu mjinga anapenda kumshauri mtu mwenye hekima.
"Mtu mjinga akikaa kimya katikati ya...
Omb 4:13 SUV
[13] Ni kwa sababu ya dhambi za manabii wake Na maovu ya makuhani wake, Walioimwaga damu ya wenye haki Katikati yake.
Viongozi wa kiroho wa Israel, yaani manabii na makuhani...
Katika jitihada za kulinda thamani ya Shilingi na gharama ambazo Serikali hutumia katika kuchapisha fedha mpya, Wananchi wameshauriwa kuwa na uelewa mpana juu ya alama za usalama zinazopatikana...
Katika miaka ya karibuni, baadhi ya matukio ya utekaji na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu yamehusishwa na kile kinachoitwa kikundi cha wasiojulikana nchini Tanzania. Ingawa taarifa zao ni...
Leo tupo tayari kuua kwa sababu ya dini hizi ila babu yako alilazimishwa tena kwa mabavu na damu ili afate hio dini uliyo nayo sasa hivi sio kwamba ibadirishe maisha yake for good ila aendane sawa...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza kuwekwa ndani kwa wakandarasi wa kampuni kutoka China ambao wameshindwa kutimiza masharti ya mkataba wa ujenzi wa barabara ingawa serikali imetimiwa...
Hawa watu wa Baraza la... hawaaminiki ndo maana tunasema sio wawakilishi wa waislam na wapuuzwe.
Nakumbuka ilikua mwaka 2020 kuna Sheikh mmoja mkubwa wa Baraza... na maarufu nilimuona akila Mbuzi...
Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa rehema zake. Kwani bila yeye tusingeweza kufika hapa binafsi mimi ni muumini wa HAKI kwa sababu haki siku zote ndo huleta amani.
Basi kwa imani...
Salama wakuu Leo hii tarehe 21 November.
RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY hapo Iringa Wana jambo Lao pale, graduation ya kukata na shoka sasa kwa bahati mbaya kuna mvua kubwa inaendelea kunyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.