huyo alikuwa ni body builder world champion (rip) akimuomba mpenzi wake akubali kuolewa naye, kwa mbongo haingiii akilini kabisa, hawaipati hiyo logic, kwa maana bongo mwenye miguvu anapiga wa...
Watanzania wamebadilisha upepo sahivi sisikii tena ule ujinga wa Simba na Yanga upo lakini mchache sana.
Alikua ananunuaga magoli ili tuendelee kuwa busy ili aendelee kutuibia wananchi...
Ulishawahi kukosea kujibu maswali, ukapewa nafasi ya kufanya masahihisho (correction), unakusanya baadae matokeo yanatoka, umekosa maswali yote tena.😎
Taarifa(picha) za watu Maalumu...
Mwezi uliopita niliona muwindaji amemkamata mwewe akamkata na mkasi kachaa!!! mara moja miguu yake miwili, chakushangaza mwewe aliishiwa ujanja kabisa ila kucha na vidole vyake vikawa vinanikamata...
Wengi tunauchukulia uongo kama ujanja wa kuishi au kutawala. Tunadanganya ili tupate nafasi, kupenya kwenye ulaji, kujiokoa, au kuonekana wema. Lakini taratibu, bila kujua, tunajenga taifa...
Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.
Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike...
Dhambi ya uuaji huwa ni kama kama mchawi tu akianza kula nyama za watu kuna wakati ataua hata watoto wake. Tunapowaambia watu hawa wanaojipendekeza kwa Serikali kuwa watanzania hawapo salama...
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja...
Ni raia wa Eritrea, Cameroun na Uganda ndio walikuwa na asilimia kubwa wakiomba ukimbizi Ulaya wanapewa.
Eritrea na Cameroun wanapewa sana kwenye maswala ya siasa.
Waganda kwenye maswala ya...
Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma likithibitisha kushambuliwa kabla ya kifo cha aliyekuwa mchekeshaji na mshereheshaji, Emmanuel Mathias maarufu MC Pilipili, suala la kuwatambua...
Jana nilisikia Mwigulu akimtaja mke wake kuwa anaitwa Neema Peter. Na kwamba haitwi Esther kama tunavyodhani.
Leo katika putapita zangu nikakuta wamiliki wa mabasi ya Esther ni Joseph Didas...
Mbeya: Polisi wakiri kumshikilia Clemence Mwandambo kwa tuhuma za Uchochezi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema limemkamata mtengeneza maudhui mtandaoni na Mwalimu wa Shule ya Awali ya...
Clip ya video inayosambaa mtandaoni kwa sasa ikimuonyesha Sugu amesimamishwa na watu wasiojulikana DSM katikati ya mji, na kubishana nao mpk sasa haijajuliakana.
Mmoja alishika bunduki.
Nimekaa nikatafakari nikaangalia Uwongozi huu mama Samia utatupeleka nchi ya ahadi wako serious hawaigizi kabisa pleas please Dec 9 tusiandamane tumpe mama mda nina Imani naye kubwa sana...
Je wajua ya kwamba ndoto zaweza kuwa kweli? Wazungu wanasema dreams can come true...
Fanya yote maishani.. Pambana sana lakini usiache kumwomba Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema zote akujaalie...
Rais Dkt. Samia amewasili Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) tarehe 21 Novemba, 2025 tayari kuelekea Arusha kwa ajili ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la...
Pichani ni EXAUD GASPERY MROSO. Ni mhitimu wa LLB Chuo Kikuu Mzumbe.
Ameripotiwa kuchukuliwa na watu wasiofahamika akiwa eneo la chuo hicho katika eneo la BOHARI (KINGALU).
Alienda Chuoni hapo...
Ni Kampuni ambayo inaongoza kwa msgs za ile pesa tuma namba hii au kukumbushwa kodi. Ni mtandao ambao matapeli wanapiga sana simu wakitaka kukutapeli mwenye line yao.
Airtel ukiingizia tu pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.