Cyclopedia
Member
- Nov 11, 2015
- 25
- 41
Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa rehema zake. Kwani bila yeye tusingeweza kufika hapa binafsi mimi ni muumini wa HAKI kwa sababu haki siku zote ndo huleta amani.
Basi kwa imani yangu naamini Mungu wa Isaka, Yakobo, ndiye Mungu wangu mimi pia ivyo kupitia yeye hii vita ya Haki vs Amani basi Haki itashinda.
Basi kwa imani yangu naamini Mungu wa Isaka, Yakobo, ndiye Mungu wangu mimi pia ivyo kupitia yeye hii vita ya Haki vs Amani basi Haki itashinda.