JF itatoka kifungoni lini nimechoshwa na VPN

JF itatoka kifungoni lini nimechoshwa na VPN

Sidhani km itafunguliwa, maana member`s wa JF ndo wanaongoza ktk lile swala la kumpandisha bi frog BP.
 
Nchi imeshikwa na wanaojua namna ya utawala bora so mtachagua wenyewe ni kipi na lipi la kufanya
 
Back
Top Bottom