Nimesoma watu wanalalamika na kauli za Bakwata kuhusu mauaji yaliyotokea kwenye màndàmano. Wanalaumiwa sana kwa kutosema ukweli, hasa baada ya waraka wa TEC leo.
But wanasahau kuwa haya makundi...
Kuna sheikh kasema maandamano ni haramu mbona wao waliandamana kipindi kile?
Hawa masheikh sijui yanatokea wapi eti maandamano ni haramu, wanasahau walivyoandamana kupinga Necta mara maandamano...
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Baraka Melami (40) mkazi wa kitongoji cha juhudi kijiji cha Olevolosi kata kimnyaki wilayani Arumeru Mkoani Arusha amekatwa uume wake na mkewe...
Kwa mtu mwenye akili timamu waraka wa TEC Ulikuwa clear na ulieleweka kwa wote wenye Dini na wasio na dini .Na hakuna mahali waraka ule umemshambulia mtu kulingana na nafasi aliyoko. Sasa...
Niliota kulikuwa na Ndege Aeroplane ambayo inataka kufanania na Gulfstream lakini ilikuwa imepakwa rangi za jeshi
Lakini kwenye ndoto hiyo, ndege ilikuwa juu kwenye Mlima mkali wenye makorongo...
Hatutaki kutugombanisha watu walivyokuwa wanatekwa walitwa dini zote maumivu wanayapata wote msilete chokochoko zenu
Lile gari la bwana abdu bugati ya bilioni 20 ukigawa mngepata toyota ist...
Hivi kiongozi aliyeshindwa kusimamia mageuzi na uwajibikaji nchini kwake anaweza kweli kuongoza upatanishi nchini Tanzania?
Jumuiya ya Madola (Commonwealth) imemteua aliyekuwa Rais wa Malawi...
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amesema kuwa kufika kwa ndege ya kibinafsi yenye abiria 153 kutoka Gaza kwenda Afrika Kusini kutachunguzwa kwa kina. Mamlaka ya Afrika Kusini yanasema...
Takriban wiki 6 zimesalia kuumaliza mwaka 2025, bila shaka kuna matukio mengi mazuri na mengine magumu umekutana nayo mwaka huu
Kati ya matukio hayo ni yapi unadhani hautaweza kuyasahau kabisa?
Kesi ya Uhaini namba 26394/2025 inayowakabili washtakiwa 38 ambao walikamatwa kutokana na matukio yaliyotokea Oktoba 29, imeahirishwa mpaka Disemba 3, 2025. Shauri hilo leo lilikuwa linasikilizwa...
1. SIO WATANZANIA
2.WALIFUATA MKUMBO
3.WAMELIPWA ILI WAANDAMANE
4.HAKUNA MTU ALIEULIWA ILE NI AI (tunaunda tume kuchunguza mauaji)
5.WALE NI WAHALIFU
6.HAO VIJANA WALIOANDAMANA WATUAMBIE HAKI ZIPI...
Hiki ndicho ninachokiona Mimi na ukikaa peke yako ukatafakari hili BANDIKO utakubaliana na Mimi Hawa vijana wametuzid sana sisi tuliozaliwa Mika ya 89 kurudi nyuma wengi wetu vichwa vyetu havina...
Mtawala wa mabavu anajielewa kweli yani picha linaanza anatoa majibu ya tumeyake aliyozindua.kuwa vijana waliandamana wamelipwa mara nywinywi na nyonyo za sijui siju nani.
Kumetokea wimbi hatari la vikundi vya watu wachache wanaojiita waislamu au viongozi wa waislamu, lakini wanachofanya hakina uhusiano wowote na Uislamu. Vikundi hivi vinatumiwa na watawala na...
GT
Baada ya upepo.wa kisurisuri wa Udini sasa mashekh ubwabwa watatokomea ila kabla hawajafika mbali wasomeni hapa kwanza. Wanatakiwa waache ubinafsi na roho mbaya haisaidii.
Vyuo vyote Kwa sasa wameandaliwa watu maalumu Kwa ajili ya kuwaookea wanafunzi wanaojiunga mwaka wa kwanza,katika kupokelewa kwao wanaambiwa wasifuate mkumbo,wasiandamane,haya kama hawana ada...
Jana mtoto wa mfalme wa Saudi Arabia walikutana na Trump ikulu oval office ya white house
Amekaribishwa kwa uzito sana kupita hata Marais kama wa ufaransa, Ukraine na nchi zote za Africa.
Hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.