SOMA: Ujumbe Kutoka Zanzibar Kuelekea Dec. 9. 2025

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,266
Reaction score
25,555
Mimi niko Zanzibar, huku hali ni mbaya kuliko hata bara, hakuna utaliii Zanzibar tokea vurugu zianze bara na sababu ni hii, hakuna wataliii wanaotokaga makwao kuja TZ kwa ajili ya kwenda Zanzibar, huwa wanakuja kwa ajili ya kwenda mbuga za Wanyama then Zanzibar huwa wanamalizia ku relax beach ndo maana issue imekuwa nzito Znz ni sababu watalii hawaji znz moja kwa moja lazma watokee bara.

Sasa Waambie Wabara washikilie hapo hapo, mbali na maandamano njia ingine ya kupata haki kwenye nchi huwa ni kufanya economic protest yani maandamano ya kiuchumi . Yani ni hivi lazma Watanzania wahakikishe kila siku bara kuna maandamano ya wananchi kudai haki. Kukiwa na maandamano nchini kila mara na wataliii watakata kabisa kote bara na Zanzibar na Zanzibar hawana kitu kingine zaidi ya utalii, so bara mkiendelea hivi mtai paralyze Zanzibar na mkiii paralyze Zanzibar kimapato na Wanzazibari watakuwa restless kama bara then mtajikuta kote mnadai haki iili mambo yakae sawa.

Mange sasa hivi tumeingia kwenye phase ya resistance sio maandamano tu, inabidi wewe mwenyewe uji tune na uwatune na Watanzania kuwa hii sasa ni safari ya resistance mpaka ushindi upatikane. Kushinda hii kitu mbali na maandamano ni lazma Watanzania muiparalyze serikali HARAM kimapato, cha kwanza lazma utaliii ukate, ule ukarimu kwa watalii inabidi uishe na hili message ipelekwe duniani kuwa hatutaki watalii kwenye nchi yetu mpaka nchi ipate haki.

Wao watalii wanatakiwa kutusaidia kupaza sauti kwenye serikali zao na sio kuja kupumzika kwenye nchi inayouwa raia wake kama wanyama.

Ndio na sisi tutaumia kwenye hili la watalii ila ni muhimu nchi nzima ikaumia kiuchumi ili woote tuungane kudai haki na kila mtu apambane nchi ipate HAKI.

Hii ya utalii ni moja tu kuna njia zingine pia za wananchi kupambana na serikali kiuchumi, naamini utaweza kufikir na kuja na ideas zingine ambazo mki mix na maandamano ya December 9 tutapata ushindi.

CHA KWANZA, NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA WABARA WAHAKIKISHE ZANZIBAR INABAKI NYEUPE HIVI HIVI BILA WATALIII NA IFANYIKE KAMPENI KABAMBE YA KWENDA DUNIANI KUA HATUTAKI WATALII TANZANIA MPAKA NCHI YETU IPATE HAKI. GEN Z WA ARUSHA WALIUAWA KIKATILI SANA, WALISIMAMIE HILI.
 
Mkuu unaizungumzia Zanzibar ipi? Mbona huku Michamvi, Paje tupo nao kama kawaida? Na si ajabu hata were moaning madam hapo umekaa Receiption unatumia wifi ya bungalow unasubiri ukawafanyie massages..
Unaongea Pumba. Kama wewe unasubiri mpaka uwaone beach basi akili yako ni ndogo.
Wageni wengi wame-cancel safari zao na waliopo pia wameondoka kwa wingi kabla ya muda waliopanga kuwepo.

Tafuta mtu anaemiliki kampuni ya Tours,Hotel ama mtu wa Migration watakuambia
 
Mara zote kipindi kama hiki cha uchaguzi wageni hupungua, hapa wageni wanaanza tena kuanzia December, tusubiri hiyo December ifike ndio tutajua, na usichokijua kuwa nipo katika hii sector ya utalii kwa zaidi ya miaka 10 na sio hao beach boy wanaosubiri taarifa
 
Sasa Vita inahamia Watanganyika vs Wazanzibar!
Hatari sana hii. Nilishauri sehemu wazanzibar wanaomiliki ardhi na mali kule Tanganyika waanze kuchukua tahadhari na kufikiria kurudi kwao.
Vivyo hivyo watanganyika waliopo Zanzibar.
 
Father Itakavyolala ndivyo itakavyochunwa mkuu
 
Tunategemea watalii kwa kununua bidhaa zetu, watalii wakiacha kuja tutakosa ugali, tutaumia kwa njaa. Hebu mkaridhiane mambo yaishe, ugali wetu usikosekane
 
Mimi niko Zanzibar, huku hali ni mbaya kuliko hata bara, hakuna utaliii Zanzibar tokea vurugu zianze bara na sababu ni hii, hakuna wataliii wanaotokaga makwao kuja TZ kwa ajili ya kwenda Zanzibar, huwa wanakuja kwa ajili ya kwenda mbuga za Wanyama then Zanzibar huwa wanamalizia ku relax beach ndo maana issue imekuwa nzito Znz ni sababu watalii hawaji znz moja kwa moja lazma watokee bara.

Sasa Waambie Wabara washikilie hapo hapo, mbali na maandamano njia ingine ya kupata haki kwenye nchi huwa ni kufanya economic protest yani maandamano ya kiuchumi . Yani ni hivi lazma Watanzania wahakikishe kila siku bara kuna maandamano ya wananchi kudai haki. Kukiwa na maandamano nchini kila mara na wataliii watakata kabisa kote bara na Zanzibar na Zanzibar hawana kitu kingine zaidi ya utalii, so bara mkiendelea hivi mtai paralyze Zanzibar na mkiii paralyze Zanzibar kimapato na Wanzazibari watakuwa restless kama bara then mtajikuta kote mnadai haki iili mambo yakae sawa.

Mange sasa hivi tumeingia kwenye phase ya resistance sio maandamano tu, inabidi wewe mwenyewe uji tune na uwatune na Watanzania kuwa hii sasa ni safari ya resistance mpaka ushindi upatikane. Kushinda hii kitu mbali na maandamano ni lazma Watanzania muiparalyze serikali HARAM kimapato, cha kwanza lazma utaliii ukate, ule ukarimu kwa watalii inabidi uishe na hili message ipelekwe duniani kuwa hatutaki watalii kwenye nchi yetu mpaka nchi ipate haki.

Wao watalii wanatakiwa kutusaidia kupaza sauti kwenye serikali zao na sio kuja kupumzika kwenye nchi inayouwa raia wake kama wanyama.

Ndio na sisi tutaumia kwenye hili la watalii ila ni muhimu nchi nzima ikaumia kiuchumi ili woote tuungane kudai haki na kila mtu apambane nchi ipate HAKI.

Hii ya utalii ni moja tu kuna njia zingine pia za wananchi kupambana na serikali kiuchumi, naamini utaweza kufikir na kuja na ideas zingine ambazo mki mix na maandamano ya December 9 tutapata ushindi.

CHA KWANZA, NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA WABARA WAHAKIKISHE ZANZIBAR INABAKI NYEUPE HIVI HIVI BILA WATALIII NA IFANYIKE KAMPENI KABAMBE YA KWENDA DUNIANI KUA HATUTAKI WATALII TANZANIA MPAKA NCHI YETU IPATE HAKI. GEN Z WA ARUSHA WALIUAWA KIKATILI SANA, WALISIMAMIE HILI.
Njia nyingine ni kuzuia wanafunzi kwenda mashuleni hii ni hatari zaidi kwa ccm ...pasionekana mwanafunzi yoyote barabarani, hii njia inanguvu zisizo onekana ila inao uwezo mkubwa wa kuangusha serikali pumbavu kama ya huyu kahaba.
 
Kwani ku copy na ku paste Kuna shida gani wewe Mbea? Mimi sijapita huko ndo naona hapa, ficha basi kiherehere chako!?!?
Kwamba nimeku quote? Au akili yako imekutuma kuwa ujumbe huo umekopi na kuuweka hapa?

Hujui kwamba mimi ndo nimekopi na kupaste kuweka kwenye group WhatsApp?

Father Punguza kuwashwa wakunaji wapo.
 
Sasa Vita inahamia Watanganyika vs Wazanzibar!
Hatari sana hii. Nilishauri sehemu wazanzibar wanaomiliki ardhi na mali kule Tanganyika waanze kuchukua tahadhari na kufikiria kurudi kwao.
Vivyo hivyo watanganyika waliopo Zanzibar.

Mkuu wazanzibari sio wapuuzi kama wabara, watanganyika wanaoishi Zanzibar hawatadhuriwa.
 
nyie jamaa bana, yani mnshabakia wananchi wapate dhiki ili mpate kufanikisha ajenda zenu za kisiasa
SAs nyinyi na hao CCM muna tofauti gani?
 
Mkuu wazanzibari sio wapuuzi kama wabara, watanganyika wanaoishi Zanzibar hawatadhuriwa.
Ndugu zao wakidhuriwa Tanganyika bado watavumilia kuwaona na kuishi nao watanganyika huko Zanzibar?
Padre aliye mwagiwa tindikali enzi za JK hakuwa mtanganyika?
Au wakati huo akili zilikuwa kwa watanganyika huku zikikosekana kwa wazanzibar na Sasa kibao kimegeuka?
 
Mkuu wazanzibari sio wapuuzi kama wabara, watanganyika wanaoishi Zanzibar hawatadhuriwa.
Wale watanganyika waliokuwa wanapigwa kwa kula chakula mchana wakati wa ramadhani walipigwa na nani?
 
Back
Top Bottom