The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,146
- 22,106
GT
Hope ujumbe umefika
Hope ujumbe umefika
Hawa ni Wakatoliki pure. Wanatoka Jimbo la Garisa Kenya eneo lenye wakenya wenye asili ya somalia. Kanisa katoliki Huwa halibadilishi utamaduni wa mtu ndio maana wanaendeleza Mila zao za mavazi ya kitamaduni ya kisomali/kiarabu lakini Imani ni ya Kristudont buy that, antichrist hao wote wakala wa shetani, wanajipenyeza ili waangamize Christianity, Biblia imetuonya siku za mwisho watakuja na kujitokeza watu aina hiyo ...
Hawa ni Wakatoliki pure. Wanatoka Jimbo la Garisa Kenya eneo lenye wakenya wenye asili ya somalia. Kanisa katoliki Huwa halibadilishi utamaduni wa mtu ndio maana wanaendeleza Mila zao za mavazi ya kitamaduni ya kisomali/kiarabu lakini Imani ni ya Kristu
Sasa unashindana ni Mimi niliyepo Kenya?Nawafahamu hata kanisa laotrojan horse hao, believe me, hakuna Christian hapo, wasomali >98% ni muslims …
Sasa unashindana ni Mimi niliyepo Kenya?Nawafahamu hata kanisa lao
😆😆😆dont buy that, antichrist hao wote wakala wa shetani, wanajipenyeza ili waangamize Christianity, Biblia imetuonya siku za mwisho watakuja na kujitokeza watu aina hiyo ...
Kumbe namwelewesha kichaasishindani na yoyote yule ila hakuna Christian hapo, kuwa na “Kanisa” haimaanishi kwamba wao ni Christian, isitoshe Yesu hakujenga Kanisa lolote lile …