Kwa nia njema tu.
Ustaadh ni daraja gani katika elimu ya kiislamu. Cheo/ ngazi hiyo unaipata unapomaliza elimu ya kiwango gani?
Kwanini nauliza hivyo?
Hawa ndio wanaokuja kuwa Think Tanks za...
Hii siyo ya kusimuliwa na watu niliona kwa macho yangu.
Katika mkoa wa Geita wilaya ya Nyang'hwale kata ya kafita na kijiji cha Lushimba.
Msanii wa nyimbo za Asili Bhudagala alikuwa akitoa show...
Umofia kwenu wanaJF,
Namba moja ana elimu ya hapa na pale ikiwa imesheni vyeti vya elimu ya chini vya kutosha.
Pia binti yake ambaye amekabidhiwa kitengo nyeti kuhusu elimu na yeye elimu yake...
Wakati tukiwa njiani kuindea D9 , nivyema tukawakumbuka mashujaa wote walioanguka kwa ajili ya Tanganyika kuanzia Siku ya 29.10.2025 nakuendelea.
Binafsi nitapenda machache yafuatayo yafanyike...
Baada ya watu fulani kutaka kutugombanisha Watanzania kwa kutumia UDini, huu ndio uamuzi wa Waislamu na Wakristo nchini.
Kuanzia sasa, salamu za Merry Christmas tutakuwa tunatakiana kwa kusema...
Hadi sasa wanakana kuhusika na mauaji, wanajitahidi kwa nguvu zote kuzihakikishia jamii za kimataifa, taasisi za kimataifa, vyombo vya habari vya kimataifa na mashirika mbalimbali kwamba...
“Lakini sasa mnanitafuta kuniua, mimi mwanadamu niliyewaambia kweli niliyoisikia kwa Mungu. Haya siyo aliyoyafanya Ibrahimu.” (Yohana 8:40)
Wayahudi walitaka kumuua mtu, kwa sababu katika...
Nina pinga kwa nguvu uhalali wa serikali , bunge , na uongozi wote kwa sababu ya wazi ya kukosekana kwa upigwaji kura halali. Serikali hii haijachaguliwa kwa njia za kidemokrasia, na hivyo...
Yesu wa Nazareti hakuwa tu mwalimu wa dini; alikuwa kielelezo cha uhuru wa kiroho na haki ya ndani isiyotetereka mbele ya mamlaka ya kidini na kisiasa. Alisimama mbele ya taasisi zilizojaa...
Kipindi cha utawala wa Hayati Rais John Pombe Magufuli (Novemba 2015 – Machi 2021), Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa matamko na waraka kulaani mauaji, utekaji nyara, kutoweka kwa...
Ushirika wa wachungaji wa Kanisa la Kipentekoste Tanzania (PPFT)umeiomba serikali ifute usajili wa Kanisa la Ufufuo wa uzima la Askofu Josephat Gwajima kwa kukiuka maadili ya kanisa kwa kutoa...
Samia azindua Tume ya Uchunguzi wa ‘Matukio ya Uvunjifu wa Amani’ wakati wa Uchaguzi, ataka uchunguzi kauli za upinzani, ushiriki wa NGO na madai ya vijana kulipwa kufanya vurugu
Rais Samia...
Na kwa kweli, utabiri huu umetimia kwani kwa sasa Ukristo umegawanyika katika zaidi ya madhehebu, dini au sekta 45,000 duniani kote na Biblia toleo tofauti zaidi ya 88.
Cha kushangaza kuhusu...
Kwa taarifa za kunyapia nyapia tayari icc wametua nchini kenya tayari kwa kuanza uchunguzi wao.
Taifa la denmark kupitia kwa mfalme wake imesema inasimama nyuma ya watanzania na wao ndio...
Habari wakuu.
Ni muda sasa nimekuwa nikihangaika kutafuta mtu wa kunishika mkono niweze kusafir nje ya nchi kutafuta maisha lakini nimekumbana na changamoto ya kutokupata mtu wa kunishika mkono...
Ninaandika huu ujumbe nikiwa katika hali ya uchungu mkubwa. Nimechoka! Nimevunjwa moyo! Nimeonewa kiasi cha kuhisi mimi si binadamu tena. Kila siku naamka nikiwa na maumivu mapya, nikiwa na mzigo...
Iko hivi! Mimi ni Mwislam nina macho, nina akili nina masikio!
Kuna mashekhe Ubwabwa wamepewa kazi kuijibu TEC ili kubadilisha upepo uonekane ni mgogoro wa kidini!
Iko hivi Dini yetu ya kiislam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.