MAMA mmoja mkazi wa Kijiji cha Rhotia wilayani Karatu, anashikiliwa na polisi akidaiwa kuwaua watoto wake wawili kwa kuwachinja kama kuku.
Wakati hayo yakitokea huko Karatu, mwanamke mwingine...
KUTOKANA na malalamiko ya baadhi ya mashabiki na hali ya kutofahamu juu ya sababu inayosababisha kuendelea kuonyeshwa kwa tangazo la kampuni ya simu ya mkononi Airtel lilikouwa limerekodiwa na...
WanaJF,
Ninaandika waraka huu huku nikiwa na machungu mazito moyoni. Kwa mwaka 2012 niliingiza takribani kiasi cha shilingi millioni nne za kitanzania. Cha kusikitisha zaidi ya theluthi ya kipato...
Jana majira ya mchana nilikuwa katika ofisi za manispaa ya Ilalahapo katika Sehemu ya kufanyia malipo, meya kijana alikuwa ameongozana na akina mama wawili staff wa benki NMB walikuwa ni kama...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
30/12/2012
CUF: MADAI YA WANANCHI WA MTWARA YANA MISINGI MIZURI YA KIUCHUMI YASIPUUZWE BALI YAFANYIWE KAZI.
Tarehe 27 Desemba maelfu ya wananchi wa Mtwara...
Huwa napokea ushauri na kabla ya kuufanyia kazi huwa nautafakari upya!
Ni mtu nisiyeamini mageuko/kigeugeu ilimradi jambo hilo niwe nimejiridhisha kwa asilimia mia kuwa ni sahihi.
Kupitia tovuti...
Leo nimenunua umeme wa luku wa tsh 1o,ooo nikapewa risiti kwenye lisit nimekatwa ths 5000 eti naambiwa ni deni,na bado nadaiwa tsh tsh 170,000, jamani huu ni wizi wa mwaka mpya
TBC 1 ipo hewani kuelekea kuzimwa kwa mitambo ya analiojia kuingia Dijitali..LIVE kwenye Ugwa wa Taifa moja kwa moja toka Taifa - DSM. watanzania wanaukaribisha mwaka mpya, wametupa shida chini na...
Do you want to drink and drive? Take milk or water instead. 10hrs before and during your trip back to DSM.
Kama mnataaka kuendesha gari huku mnakunywa basi mnywe madhiwa au maji (ya kaa/ ngalla)
Pamoja na kuelekea magauzi kutoka analogia kwend digital, mimi na wengineo tunauelewa mdogo san kuhusu digital ni nini, faida zake na inatofautianaje na mfumo wa analogia. Naomba msada!!!
saa 6:05 USIKU SASAA wakati mitambo ya analojia ikidaiwa kuzimwa na TACRA, lakini ITV na Capital TV bado ipo hewani kwa analoji..au wao hawahusiki?. BIG UP Capital TV na ITV.
Clouds TV huko...
Askari wa usalama barabarani wilaya ya kakonko anayejulikana kwa jina MBAYA ameshindwa kuwasiliana na Raia wa kigeni aliyekuwa anaendesha gari T7610BVV,mpaka akamuita askari mwenzake anaitwa Rudo,
Mfumo wa digital kwa Star times umeanza kuchemsha.. Clouds Tv imekata na linapita tangazo la kuomba radhi.. Nilikuwa naangalia channel nyingine ya MGM nayo imekata hapa.. Inasema no service..!
Ni...
Kwa muda mlefu sasa tumekua tukisikia na kujionea vitendo vya kibuguzi nchini.
Nchii kila kona kuna cd za matusi,vipeperushi,magazeti n.k hasa mashambulizi hayo yanaelekea kwa wakristo(kwa jinsi...
Nilikuwa mpenzi sana wa kipindi cha radio free afrika cha watanzania tuzungumze magazeti, lakini siku za hivi karibuni kipindi kiko kimagamba magamba, magazeti yanayosomwa siku hizi mengi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.