Live toka uwanja wa taifa kukaribisha mwaka 2013

Live toka uwanja wa taifa kukaribisha mwaka 2013

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
TBC 1 ipo hewani kuelekea kuzimwa kwa mitambo ya analiojia kuingia Dijitali..LIVE kwenye Ugwa wa Taifa moja kwa moja toka Taifa - DSM. watanzania wanaukaribisha mwaka mpya, wametupa shida chini na kuweka mikono juu.

Ibada maalumu, maombezi na nyimbo za kusifu kemkem...
 
Kuweni makini na wale watani zetu hasa milipuko, risasi, ubakaji na utekaji nyara maana kwa wenzetu hayo ndo maadili mema
 
Kuweni makini na wale watani zetu hasa milipuko, risasi, ubakaji na utekaji nyara maana kwa wenzetu hayo ndo maadili mema

Kweli Kabisa, inashangaza sana!
 
Back
Top Bottom