ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,141
- 951
saa 6:05 USIKU SASAA wakati mitambo ya analojia ikidaiwa kuzimwa na TACRA, lakini ITV na Capital TV bado ipo hewani kwa analoji..au wao hawahusiki?. BIG UP Capital TV na ITV.
Clouds TV huko kwenye Dijitali inaonekana chenga tu wakati STAR TV, EAT kwenye king'amuzi cha STAR TIME vinasoma (TEST)
DTV hawapo kabisa, SIBUKA TV inaesema "INSERT DVD PLAYER" ...Changamoto hizo za Teknologia.
TIGO kama kawaida mtandao haupatikani, NMB Mobile Digitali imevuruga toka saa kumi na moja leo tarehe 31.12.2012 hakika Bongo ni Bongo tu....