Rfa vipi siku hizi?

Rfa vipi siku hizi?

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,146
Reaction score
887
Nilikuwa mpenzi sana wa kipindi cha radio free afrika cha watanzania tuzungumze magazeti, lakini siku za hivi karibuni kipindi kiko kimagamba magamba, magazeti yanayosomwa siku hizi mengi ni magamba.com. Yani sina hamu tena na kipindi hicho. rfa aibu tupu mnakera sasa.
 
Hawana jipya cku izi,icho kipindi kimedoda mf.huwa wanaruka habari hasa za cdm
 
mkuu huo ndo mkakati mara baada ya dialo kushinda uenyekiti wa magamba mwz. mimi nimehamia radio tumaini siku hizi.
 
Nilikuwa mpenzi sana wa kipindi cha radio free afrika cha watanzania tuzungumze magazeti, lakini siku za hivi karibuni kipindi kiko kimagamba magamba, magazeti yanayosomwa siku hizi mengi ni magamba.com. Yani sina hamu tena na kipindi hicho. rfa aibu tupu mnakera sasa.

tatizo wabongo mnapenda kukosoa v2 vingne ambazo havna uhakika, we una uhakika n habar zote znakuwa kimagamba magamba au ndo nyie haters
 
Kipindi hiki kimeshapoteza mwelekeo tangu hamis damumbaya atoke. Wanachukua muda mrefu sana kujiunga na matangazo kibao,matokeo yake wanasoma headlines kidogo na muda unaisha
 
Mie nili post uzi week iliyopita juu ya huyu jamaa Denis Mwasilanga, hamkuiona? Wengi tulishaligundua hili, sasa hivi jamaa kapewa dili la kuwapigia Magamba warudishe mvuto kwa jamii jambo ambalo ni sawa na Mashariki kukutana na Magharibi.
 
Nilikuwa mpenzi sana wa kipindi cha radio free afrika cha watanzania tuzungumze magazeti, lakini siku za hivi karibuni kipindi kiko kimagamba magamba, magazeti yanayosomwa siku hizi mengi ni magamba.com. Yani sina hamu tena na kipindi hicho. rfa aibu tupu mnakera sasa.

Sasa sisi tukusaidiaje?? Nunua gazeti lako unalolipenda. Hujui kwamba Vyombo vya habari vipo kwa maslahi ya wanaovimiliki?
 
Denis mwasilanga na joyce mwakalinga leo wameamua kutuletea magazeti ya uhuru, jamhuri na jambo leo! Hivi haya ndo tuzungumze magazeti? hamuwatendei haki wadhamini kibao wa kipindi hiki maana hamchambui magazeti bali vipeperushi vya ccm, inabidi muitwe tbccm3.
 
Dawa yao wakiendelea hivyo ni kususia vyombo vyao vya habari tu! Arusha tunaweza, vipi wenzetu? Hata hayo magazeti waliosoma leo na yenye muelekeo huo, huku tulishaapishwa na LEMA kutoyanunua hata TBCCM nayo hatuangalii, kisha upendeleo wa wazi.....!
 
kweli STAR TV mnakera sana yaan cku hz mpo kimagamba gamba tu lyk tbc ccm
 
ni bora ukapata magazeti mtandaoni kuliko uhalo huu ulioanza tbc na sasa star tv ..piga chini
 
Back
Top Bottom