Mfumo wa digital Star times.. Kazi imeanza..

Mfumo wa digital Star times.. Kazi imeanza..

sosoliso

Platinum Member
Joined
May 6, 2009
Posts
8,543
Reaction score
9,480
Mfumo wa digital kwa Star times umeanza kuchemsha.. Clouds Tv imekata na linapita tangazo la kuomba radhi.. Nilikuwa naangalia channel nyingine ya MGM nayo imekata hapa.. Inasema no service..!

Ni ishara ya mabovu makubwa yajayo..? Tumekurupuka..?

Updates:
Channels zote zimekata...
 
na sasa ITV imekata.......chanel 10 imekata.....ooh TBC nayo iko down...tumekimbilia technolojia tusiyoiweza......
 
na sasa ITV imekata.......chanel 10 imekata.....ooh TBC nayo iko down...tumekimbilia technolojia tusiyoiweza......

Kwa mara ya kwanza nimekosa kipindi cha kuangalia kwenye tv..! Warudishe analogue hawa.. Wangesubiri mpaka 2015.. Damn..
 
huu upuuzi wa kukurupuka unawezekana hapa tanzania pekee...mikataba yao ya kuza ving'amuzi wanayosainiana huko bar kwa kupewa rushwa ndio inayotuumiza sisi wananchi....
 
server yao imelemewa, na decorder zao leo zinauzwa bei ya kuruka, ukiipata kwa bei poa ni 55000
 
Mfumo wa digital kwa Star
times umeanza kuchemsha.. Clouds Tv imekata na linapita tangazo la
kuomba radhi.. Nilikuwa naangalia channel nyingine ya MGM nayo imekata
hapa.. Inasema no service..!

Ni ishara ya mabovu makubwa yajayo..? Tumekurupuka..?

Updates:
Channels zote zimekata...

Huku mikoani analogia kama kawa tu,tunaendelea kula mapindi ya local channels zetu kama kawa,naomba hiyo midigitali yenu iishie huko huko kwenu
 
Kama ITV wangeiweka DSTV na iwe free chanel kama TBC hapa wangekuwa wamefanya la maana.. otherwise tutakuwa tunaangalia news kwenye net au magazetini tu.. tunarudia enzi zile za Mwalimu
 
Mimi nawaona tu na michemsho yao. waturudishie analojia yetu! digital hatujawa tayari!
 
kazi hipo kwakweli; yaani waananchi tunaanza kununua matangazo ya biashara za watu
.....mfano mzuri ni hivi, ili uone tangazo la King Majuto na Sharo la HAMIA AIRTEL ambalo tayari limeishalipiwa na kampuni huska ili lirushwe kupitia kwenye TV sasa ni sharti ununue kifurushi cha sh. 9000, 18000 au 36000 kwa mwezi
 
Sasa zikirudi katika hali yake muwe mnaripoti hapa as well. Hongera Star Media kwa kufix the problem within few minutes. Tunaendelea kufaidi clear videos from digital broadcasting kama kawaida. jamani mabo ya analojia yamepitwa na wakati, ingekuwaje kama hadi leo tungekuwa na simu zisizoweza kutuma hata sms, yaani voice call only? We have to appreciate new technologies!
 
Kuweni na hekima na uvumilivu, mbona bongo hivi ni vitu vya kawaida?
 
Sasa zikirudi katika hali yake muwe mnaripoti hapa as well. Hongera Star Media kwa kufix the problem within few minutes. Tunaendelea kufaidi clear videos from digital broadcasting kama kawaida. jamani mabo ya analojia yamepitwa na wakati, ingekuwaje kama hadi leo tungekuwa na simu zisizoweza kutuma hata sms, yaani voice call only? We have to appreciate new technologies!

Nani kasema ha-appreciate new technology?
Hapa watu wanazungumzia reliability ya matangazo. Mara unaambiwa no service, matangazo yanakatika katika hata huwezi kufuatilia flow ya matangazo na kero nyingine nyingi.
Mambo ya ajabu sana haya, channel za kichina wala hazisumbui lakini hizi za kibongo hasa ITV, Startv, EATV zinasumbua sana matangazo yanakatika mara kwa mara. TBC na Channel ten ndio hazikatiki katiki mara kwa mara.

Kwakweli inabidi TCRA wajpange zaidi katika hili la kuhakikisha upatikanaji wa matangazo unakuwa bora zaidi na kuonyesha tofauti ya analojia na dijitali.
 
Mfumo wa digital ulitakiwa uende sambamba na ule wa analog mpaka wakati ambapo matatizo yatakayojitokeza yatakapokuwa yametatuliwa. Nchi nyingi zilizo na mfumo wa digital kwa sasa zilzianza hivyo.
 
Sasa zikirudi katika hali yake muwe mnaripoti hapa as well. Hongera Star Media kwa kufix the problem within few minutes. Tunaendelea kufaidi clear videos from digital broadcasting kama kawaida. jamani mabo ya analojia yamepitwa na wakati, ingekuwaje kama hadi leo tungekuwa na simu zisizoweza kutuma hata sms, yaani voice call only? We have to appreciate new technologies!

Mkuu.. Hakuna ambae hafurahii mabadiliko haya ya digital.. Tatizo linaanzia pale tunapokosa matangazo kutokana na kiherehere chetu cha kukimbilia huko wakati bado hatujajipanga..! Huu mfumo world wide imepangwa mwisho ni mwaka 2015.. Ukweli ni kwamba sie bado hatujajipanga.. Ukitaka kujua kama kweli hatujajipanga ni kuanza kuzima kwa awamu..! Ati wameanza kuzima Dar halafu baadae mikoani..!
Au ndo walitaka tuonekane na sie tumewahi kuingia kwenye mfumo huo...?
 
Nunueni ZUKU TV hakuna kukatika kwa matangazo

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mimi kwangu ITV na EATV hazina sauti. Sijui itakuwaje!
 
huu upuuzi wa kukurupuka unawezekana hapa tanzania pekee...mikataba yao ya kuza ving'amuzi wanayosainiana huko bar kwa kupewa rushwa ndio inayotuumiza sisi wananchi....

Siafadhali ya Bar, wanapangiwa chumba kama malaya ndio maana hao mabwana zao wanaowasainisha hawawaheshimu, maviongozi ya Tanzania huwa nayaona mahayawani hana hata akili likiiongoza lile la magogoni ndio hamna kabisaa
 
Technologia tangu enzi hizo za mawe (stone age) imekuwa na itaendelea kubadilika kuwa bora zaidi. Mabadiliko hayo huwa ni hatua kwa hatua. Transition ya kutoka hatua moja hadi nyingine huwa ni smooth na isiyoonekana wazi na wala siyo ya kulazimisha. Technologia ya awali hu 'phase off' yenyewe. Miaka ya 1950 na 1960 tulikuwa na magramaphones na trank calls za kuzungusha kwa mikono (hendeli), treni zinazotumia moshi (kuni), motokaa za hendeli, radio za mbao n.k. Hatua kwa hatua zilibadika na sasa kuna digitali. Hayo masahani ya santuri ya zamani na player zake zilipotea taratibu na kuwa replaced na CD, DVD, Flash discs, memmory cards n.k. Flopy discs, VHS video decks zilipotea zenyewe. Hakuna aliyelazimisha, watalamu wenyewe waliacha kuzitengeneza ila mtu kama anazo anaweza kuzitumia lakini hatapata spare parts zitakapoharibika. Mwalimu Nyerere alifanikiwa kutuzuia kutumia technologia ya analogue ya TV kwa kipindi kirefu hadi miaka ya 1995. Sasa zamu hii tunalazimishwa kuiacha wakati watalamu bado wanatengeneza vifaa hivi. Tunalazimishwa kununua ving'amuzi na kila stesheni ya TV ina king'amuzi chake, hivyo unabidi uwe na ving'amuzi kadhaa. Kwa nini kusiwe na aina moja tu ya king'amuzi ambacho kitashika hizo stesheni zote na kisiwe cha kampuni za TV stesheni? (multipurpose decorder). Kwa nini hiyo mitambo ya analogue isiendelee kutumika sambamba na hiyo ya digitali hadi hapo itakapoji 'phase off' yenyewe kama ilivyo kawaida ya technologia? Nina uhakika hata hiyo technologia ya digitali baada ya muda si mrefu nayo ita phase off na kuchukuliwa na technologia yenye uchawi mkali zaidi maana technologia ni aina fulani ya uchawi unaotumia sayansi, acha ule uchawi wetu ambao hautumii sayansi ambao sijui kama nao unaendelea ama umekuwa phased off na huu wa sayansi.
Kwa kumalizia huwa hatulazimishani katika matumizi ya technologia fulani. Hadi leo kwa mfano bado kuna baadhi ya jamii za Kitanzania (kwa mfano wale wanaoishi kwa kula matunda pori na asali, jina lao nimelisahau - wale waliotaka wachinjiwe nyani kabla ya kuhesabiwa) bado ziko kwenye technologia ya mawe (stone age), sasa nao mutawalazimisha digitali?
 
Back
Top Bottom