TCRA wanasema local chanels 5 (TBC1,ITV,EATV,StarTV&Ch.10) zitakuwa free kwenye ving'amuzi,kwa maana kwamba hata mtu asipolipia ataendelea kuziona.Sasa,je ikitokea watu wenye ving'amuzi...
Leo hii soko kuu la Singida limeripotiwa kuungua kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme.Tukijaribu kutafakari ni masoko mengi yamekuwa yakiteketea kwa njia hii na hamna tahadhari yeyote...
Wanaukumbi;
Hii tabia yetu ya kulalamika bila kuchukua hatua hatatufikisha popote. Na kati ya sehemu tunazoibiwa wazi wazi na bila kificho ni Makampuni ya Simu. Kwa mfano, Airtel wanakupa option...
Manispaa ya Kinondoni imetangaza rasmi kutoza faini kwa mtu yeyote atakayekutwa anachafua mazingira mwa namna yoyote ile atatozwa faini ya Tshs. 50,000/= papo hapo "so be carefully"
Source Kurasa...
Ndugu zangu leo naombeni msaada wa taratibu za malipo ya ada ya watoto unaofanywa na PPF pindi wazazi/mzazi anapofariki.huu ni mwaka wa tatu tangu ndugu yangu afariki na baadhi ya watoto wake...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kwamba kuanzia kesho kutakua na mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi kwa maeneo ya pwani.
Mikoa inayotajwa kuwa na uwezekano wa kuwa na...
Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa kuzidi kupoteza wasanii mahiri na wenye vipaji. Lakini kazi ya mungu haina makosa yeye ndie hutoa na kutwaa natunaimani atazidi kuwazidishia na mwaka huu...
HATIMAYE wafanyakazi wa kampuni ya kusafirisha na kuuza mafuta ya jumla na reja reja Panone and company limited wamejikuta wakiumaliza vibaya mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka mpya 2013 wakiwa...
Nachukua fursa hii kwa niaba ya wanahabari wote kumtaka Ras Jah atuombe radhi kutokana na matusi mazito aliyotufurumushia kuwa tumenunuliwa na PPF ili tusiandike madudu yatakayofanyika huko.
Kwa...
By Ben Brumfield, CNN
updated 4:51 AM EST, Wed January 2, 2013
Who are Boko Haram?
WW
Watch THE VIDEO --------------- Nigerian forces kill 13 Boko Haram militants after church attacks -...
Heri ya mwaka 2013 wanaJF,
Jaman naombeni msaada kwa anayefahamu anapofundishia dada Sabrina somo la Auditing and Assurance kwa wale wanaofanya mitihani ya NBAA module F,vile vile Center ya...
Nimeangalia leo taarifa ya habari ya ITV nimeona jinsi daraja la Singida lilivyosombwa na maji. Mimi si mhandisi wa barabara, lakini nimeweza kuona kuwa kiwango cha ujenzi wa daraja lililosombwa...
Nusu saa ilopita nimetoka kuweka petrol ya shiling elfu 30 pale puma kijiweni nikashangaa fuel gauge imesogea kidogo sana ukilinganisha na siku zote nikajua tayari nimeibiwa nimeenda pale bigbon...
"ATM CLOSED" nakerwa sana na hii taarifa kwenye ATM za kwenye Mabank yetu ya TZ hasa NBC ambayo mara nyingi napendelea kuitumia.Mfano kwa Morogoro,unaweza tembea mji mzima ATM inayofanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.