Mtikila ni mbwa anabweka Serikali inampuuza baadhi ni ya kweli. mfano kuna Prof mmoja pale Morogoro kwa sasa anaishi Rwanda na Tanzania alikuwa mhadhiri SUA kwa muda mrefu kumbe ana asili ya...
BUNDI ALIYEKUWA AKINYEMELEA KWA KASI CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA MKOANI KILIMANJARO kncu SASA AMECHUKUA SURA MPYA BAADA YA WAAFANYAKZI KUTISHIA KUGOMA KWA MADAI YA KUINGILIWA KATIKA UTENDAJI KAZI WAO...
Nimekuwa nikifuatilia jinsi watu wanavyotumia hizi tissue za kushikia vitafunwa hasa kwenye migahawa hii ya take away, nimegundua wengi wetu hatuzingatii kanuni za afya maana hizi tissue ni...
Former President, Benjamin William Mkapa has handed over 30 houses to health workers in Mtwara, Newala and Masasi districts of Mtwara Region.
Speaking during the handover ceremony, Mkapa, who is...
Habari,
Samahani Dr.Manyau Nyau usinigeuze jinsia mimi naandika kuwapa taarifa wana JF kuhusu ulivyosema,akitirika kwenye you heard amesema member aliyemchulia kifo atamgeuza jinsia kwa mda wa...
Wakuu mimi vile vile ni mpenzi wa sports vehicles, speed and beutiful cars.
Lakini ningependa kushare na wana JF juu ya magari haya kama nilivyoona mtandaoni.
The Bentley GT has now...
Katika kile kinachoonekana benki zetu zinaendesha mambo bila mibadala,leo katika benk ya nmb Songea hakujakuwa na huduma kuanzia saa 2 asubuhi mpaka naondoka hapo saa 8.30!mchana Tatizo wao...
Jamani wale waliosoma Godfather au kwa namna tofauti wana elimu ya jinsi wanachama wa mafia ya kitaliani inavyofanya kazi watanisapoti kwenye hii thread.
Tangu kuwepo hoteli nyingi za wataliani...
Ndugu wanaJF, je mnajua kwamba nauli za daladala zimepanda kimyakimya na mamlaka husika zimekaa kimya. Nauli ya kawaida ya daladala kutoka Ubungo-Mbagala Rangi 3 ni Sh500 lakini makondakta na...
Kuanzia jana tarehe 15/12/2012 vijana wa kabila la wakurya mkoani Mara na nchi jirani ya Kenya wameanza kutahiriwa kama ilivyo mila na desturi yetu.
Hizi ni baadhi ya picha za baadhi ya matukio...
Wakuu
Hivi huyu Alex Kajumulo alipata wapi zile hela alizokuja nazo Tanzania miaka ya mwisho ya 1990's na kuzichezea katika ufadhili wa timu za mpira ( na akina Jamuhuri Kihwelu na Abubakar Kombo...
Enyi vigogo wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini(GPSA)kumbuka mnavyofurahia maisha na familia zenu sisi wafanyakazi wa Mikoani kwa makusudi mmeendelea kututesa kwa kutucheleweshea mishahara...
HATIMAYE wafanyakazi wa kampuni ya kusafirisha na kuuza mafuta ya jumla na reja reja Panone and company limited wamejikuta wakiumaliza vibaya mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka mpya 2013 wakiwa...
Karibu mabasi yote ya Ubungo-Mlandizi yanaishia Kongowe hasa wakati huu wa usiku.Nijuavyo,hakuna hata daladala moja iliyopewa 'ruti' ya Ubungo-Kongowe kwasasa. Halafu,hata Askari wa Usalama...
Bundi aliyekuwa akinyemelea kwa kasi chama kikuu cha ushirika mkoani kilimanjaro (KNCU) sasa amechukua sura mpya baada ya waafanyakzi kutishia kugoma kwa madai ya kuingiliwa katika utendaji kazi...
Ni biashara ya watu tu ili wauze ving'amuzi vyao.Nchi yetu ilikuwa bado kuzima Analojia. Bado hatujajipanga. Wengi wanateseka...wanakosa habari.Kwani ni kweli kuwa Dijitali ni Ving'amuzi? Ndugu...
1. Ubora wa picha katika ving'amuzi vya TING na Star times ni mbovu (picha zinaonekana zimepauka).
2. King'amuzi cha TING chenyewe kuna wakati picha zake huganda na wakati mwingine haionyeshi na...
na Ahmed Makongo, Tarime
WANAUME wawili wamefariki dunia kwa kuchomwa visu na kupigwa na mawe katika tukio la kugombea mwanamke wilayani Tarime, Mara.
Kamanda wa Polisi wa Kanda...
Hakuna thread ninayoipenda humu JF kama "WALINZI WA VIONGOZI MBALIMBALI DUNIANI"karibu kila siku naifungua asante kwa ICADON NA GAME THEORY.
OMBI:Tafadhali naomba isifutwe jamani maana ntaugua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.