Wanajamvi nimeona nilete hili swali humu,katika zunguka yangu kufuatilia vicent vyangu kwenye atm za crdb karubu kila,kona hazitoi fedha.nimejuliza labda walikuwa anologia wamezimiwa nao piaMwenye kujua sababu anijuze maana hii ni toka jana jioni

Mdau ni mwanzo wa mwaka so kuna vitu vingi sana vinafanyika kwenye mtandao kuanzia jana usiku inaitwa 'END OF THE YEAR' process. So inawezekana imesumbua tu wakati zoezi hilo bado likiendelea. Haiingiliani na mambo ya digitali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.