Tangazo la santa lucia (tambi)

Tangazo la santa lucia (tambi)

Fruit

Senior Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
193
Reaction score
54
Yaani lile tangazo nalipenda sana hasa wale watoto wanavyovutia tambi mdomoni. We umalionaje? tupia yako
 
Yaani lile tangazo nalipenda sana hasa wale watoto wanavyovutia tambi mdomoni. We umalionaje? tupia yako


Mtoto wangu analipenda sana hili tangazo na sasa tambi haziitwi tambi tena bali santa lucia! kwa ukweli anaapetite!
 
Yaani lile tangazo nalipenda sana hasa wale watoto wanavyovutia tambi mdomoni. We umalionaje? tupia yako

Mtoto wangu analipenda sana hata akiwa chumba akisikia tangazo hilo anakimbilia sebuleni .
 
Mi kuna demu wangu analipenda sn..nimempa jina la utani namuita Santa Lucia..nafurahi sn
 
tuko wangapi ndo kila kitu,though salama kondom nao wamekuja kwa kasi sana...
 
Back
Top Bottom