Katibu Mkuu wa
Jumuiya
na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda akiingia katika
chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo
pamoja na washtakiwa wenzake...
Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali juu ya suala zima la kuuingia katika mfumo wa Digitali huko katika ukumbi wa...
MKOA wa Dar es Salaam leo saa 6 usiku unakuwa wa kwanza kuzimiwa mitambo ya analojia ya utangazaji wa televisheni kwa ajili ya kupokea mfumo mpya wa digitali.
Hatua hiyo ya kuhama kutoka analojia...
MHASIBU wa Klabu ya Simba, Erick Sekete Jumamosi wiki hii ameavamiwa na watu wasiojulikana na kuporwa zaidi ya Sh7 milioni. Fedha hizo zilikuwa ni za mgao wa klabu hiyo ilizopata katika mchezo wa...
Jeshi la polisi linatakiwa litafakari kuhusu mauaji waliofanya dhidi ya raia wasio na hatia. Waelewe kuwa mamlaka ya uhai wa binadamu yapo chini ya Mungu. Ni vyema watambue kuwa ipo siku...
Leo ni siku ya mwisho kwa viongozi w umma kurudisha fomu zinazoonesha mali wanazomilik lakini mpaka sasa ni vingozi 1751 tu kati ya 9174 ndio walorudisha fomu. Je amnao badp hawajarejesha fomu...
Mji wa Kigamboni unakuwa kwa kasi na umekuwa na idadi kubwa sana ya watu kwa sasa. Kila siku kuna idadi kubwa ya watu wanaovuka kutoka kigamboni kwenda mjini na kutoka mjini kwenda kigamboni idadi...
Familia ya Rais Jakaya Kikwete ikiwa pamoja na mmoja wa wagombea kiti cha urais nchini Kenya baada ya kutua nchini Tanzania na kulakiwa na Magufuli. Je, safari ya Magufuli nchini Kenye kumfanyia...
As the deadline for switching off analogue television broadcasting expires today, some Dar es Salaam residents have complained that the decoders they purchased have technical problems.
A survey...
Jamani usafiri wa daladala za kigamboni hasa za kutoka feri kwenda kibada na kongowe una kero vibaya mno, asubuhi daladala zinakatisha route toka Kongowe zinaishia Toangoma na Mikwambe CCM...
Baada ya kuishi karibu maisha yake yote kama mfuasi wa Budha, mtu wa makamo mmoja katika nchi ya Singapore aliyekuwa amegeuka na kuwa Mkristo aliulizwa swali hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.