Merry Christmas and Happy, prosperous New Year 2013

Merry Christmas and Happy, prosperous New Year 2013

Maxence melo na mwenzako mike kwa kutuletea jf merry xmass and happy new year

Wana chitchat wote nyinyi maisha yenu hayana stress kwani kuwako chit chat stress mnaziondoa kabisa merry xmass and happy new year

Wazee wa mmu na love connect huko najua story kubwa ni za kungonoka tu merry xmass kwenu kwani nnajua topic zenu ni hot kuna waliolowanicha pichu kwa topic zenu na waliovimbisha pichu kwa topic zenu hongereni sana

Vile vile napenda kutoa merry xmass kwa wazee wa jukwa a siasa kina tuntemeke, mzee mwanakijii , le mutuz, mzito wa kabwela, ritz, rejao ma wengine na waliopotea kama kina hutaki unaacha najua nyinyi mna uchungu sama wa nchi hii mnajitajidi kukemea maovu japokuwa wengine ndio nitoke vipi yao ila merry xmass and happy new year see you soon 2013

Napenda kutoa merry xmass and happy new year kwa wazee wa biashara na ujasiliamali kina lat, entreprenuer na wenzako wote michango yenu ilikuwa ya maana na kilichozungumziwa kule naamini kitakuwa chachu na maendeleo kwa taifa letu

Wazee wa stress , wazee aa bahasha za kaki, wazee a kukaa posta, wazee wa mishe mishe JUKWAA LA KAZI JA TENDA msikonde wanangu 2013 kitaeleweka tu merry xmass and happy new year kwenu

Wazee wa kushindanisha vyuo mpooo JF EDUCATION merry xmass wazee pigeni msuli life kitaa ngumu sio mnakaa kuingia jf tu

Wazee wa m iq yao wachawi wa kompyuta GADGETS AND TECHNOLOGY merry xmass wakuu naamini hapa tutampata the next ALI MUFURUKI

Wazee wa ushauri wa kitaabibu JF DOCTORS merry xmass and happy new year ila tafandali naomb 2013 msigome plizzzzz

Wazee wa Law merry xmass and happy new year ila wakuu ni nini najuamna kesi nyingi mahakamani ila jaribuni basi kuja mara moja moja kwa jukwaa lenu linapwaya sana siku hizi. Ni hayo mwanawane

wazee wa picha kina mbuzi mzee na wenzako merry xmass and happy new year ni furaha sana kuwa na kina nyie jukwaani hapa

GUEST MEMBERS WOTE merry xmass and happy new year ila next time jisajilini bwana sio mnakaa tu kuchungulia chungulia na kuondoka tunataka na mawazo yenu

Wazee wa INTELLIJENSIA NA IQ hawa jamaa humj nawaheshimu sana na maada zao aisee merry xmass sana na happy new year 2013 tuemdeleze gurudumu hili hili la kujuzama

Wazee wa kupanda ndege, wazee wa kusikiliza bbc, cnn, wazee wa news za serious ishuzi mkiwemo na ma diaspora
INTERNATIONAL FORUMS merry xmass and happy new year

Sasa naomba niwape salamu za xmass wale wote ambao tuliwahi kukwaruzana nao kwa namna moja au nyingine maybe
1.mada yangu haikuwapendeza
2. Post yangu au comment iliwachukiza
3. Tulikwaruzana kwa kurushiana maneno
Ambapo mpaka ukafikia steji ya kunikasirikia napenda kusema SAMAHANINI SANA NA MERRY XMASS AND HAPPY NEW YEAR
 
Same to you C.T.U
Uwe na msimu mzuri wa sikukuu hii ijayo
Tumekusamehe pia na wewe tusamehe
 
Last edited by a moderator:
nawe pia uwe na mapumziko mema ya sikukuu na mwaka mpya.
 
Same to you C.T.U
Uwe na msimu mzuri wa sikukuu hii ijayo
Tumekusamehe pia na wewe tusamehe

Ila mi i na wewe hatikuwahi kuingia katika mtafaruku hahahaha
 
Last edited by a moderator:
Nawe pia C.T.U,msalimie Jack Baure na Bill Buchanan na mkewe Karen Hyes na Kim Baure!
"
Sikukuu njema!
 
Hapa ofisini yuko Tony tuna kikao na palmer

Naona Michelle Desler ananibeep anasema twende tukampokee Chloe O'brian anakuja na Charles Logan pamoja na John Keller na Mike Novick!
 
WanaJf, 2012, ndo hiyo imeyoyoma, kwa ufupi sana, nawaombeni kuexpress your sincere heart felt appreciation kwa member yeyote wa Jf kwa jambo lolote, liwe ushauri, utani, mapenzi, siasa, elimu nk ambalo unadhani kwa 2012 limekufanya umkumbuke daima

Naomba nianze na hawa hapa wengine watafuatia. Kheri ya sikukuu kwa Jf members niliowataja na wote watakaopita hapa.
1. Preta (mamsapu)
2. FP
3. MziziMkavu
4. King'asti
5. watu8
6. platozoom
7. AshaDii
8. snowhite
9. The Boss
10. Madame B
 
Last edited by a moderator:
Asante saana Moto... Hopefully this holiday is treating you well. Mwenyezi Mungu atujalie tuweze vuka salama; na mwaka 2013 uwe wa kheri na fanaka zaidi kuliko sasa. Pamoja saana.
 
Pia,,
Baba mpole:
Father of all
Mtunzi wetu:
Mtambuzi
Binti Machachari:
LALA 1
The unforgetable:
Zion daughter
Kaka mpole:
Tized
Most significant
Mentor
Prisoner
Kiranga
Eiyer n.k
Happy Xmass&new year 2013
 
X-Mass.. Satan's attempt to eliminate 'Christ' from Christmas..
Ask yourself..what is so long in Christmas that needs be abbreviated???

Merry Christmas moto2012
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom