englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
kwwani mlima kilimanjaro upo kenya lakini si unasikia wakenya wanasema upo kenya chezea wakenya wewe.hivi kwani barack obama alizaliwa kenya?mi nilikuwa sijui.
Sasa hapa ndo nafasi gani wametumia?Manaake huu uongo mwingine ni aibu tupu,kila mtu anajua Barack Obama alezaliwa Honolulu,Hawaii.Biashara matangazo, Kenya ni nchi ndogo lakini kiuchumi wametuacha mbali sana. Wakipata nafasi wanaitumia vizuri.
obama hajazaliwa kenya ila baba yake ni mkenya hivyo wanatumia tu hiyo slogan kuvuta utalii.tatizo tume kaa kima jungu zaidi na kuwa ona wakenya wapo kibiashara zaidi kwa nini uwasemee wa kenya acha kujishushaa alaaaa
wanataka kumharibia Obama hawa wajaluo
kwwani mlima kilimanjaro upo kenya lakini si unasikia wakenya wanasema upo kenya chezea wakenya wewe.
wenzetu wapo kibiashara sisi tupo kimajungu na fitinaHawa jamaa wanaangalia wapi sisi tumekuwa dhaifu, wakishaona wanaitumia vizuri hiyo nafasi. Walipoona wameshutukiwa kuhusu mlima Kilimanjaro sasa wanasema ukitaka kuuona vizuri njoo Kenya, na kweli ukiwa upande wa Kenya unauona vizuri ila kuupanda lazima uingie TZ.
Sasa hapa ndo nafasi gani wametumia?Manaake huu uongo mwingine ni aibu tupu,kila mtu anajua Barack Obama alezaliwa Honolulu,Hawaii.
Wakenya bwana wanapania sana mpaka wanachemsha,ndo maana wanasema mlima kilimanjaro upo kwao.
Upotoshaji mkubwa sanakwwani mlima kilimanjaro upo kenya lakini si unasikia wakenya wanasema upo kenya chezea wakenya wewe.
Hawa jamaa wanaangalia wapi sisi tumekuwa dhaifu, wakishaona wanaitumia vizuri hiyo nafasi. Walipoona wameshutukiwa kuhusu mlima Kilimanjaro sasa wanasema ukitaka kuuona vizuri njoo Kenya, na kweli ukiwa upande wa Kenya unauona vizuri ila kuupanda lazima uingie TZ.