Hivi karibuni Marekani kumegundulika katika nyama ya ng'ombe inayotoka Uingereza kuna takribani 29% ya nyama ya farasi. Sakata hili bado uchunguzi unaendelea ambao mwisho wake utayagharimu sana...
Kila watu wana mfumo wao wa maisha na wanaouamini kuwa unawapa faraja katika siku zote za uhai wao..
Mfano mimi Mfumo unaonipa Amani ni Uislam,kuna Wengine Upagani,Urastafali na Wengine Ukristo...
Imechapishwa Ijumaa, 01 Machi
2013 00:45
Imeandikwa na Anastazia Anyimike
Imesomwa mara: 11
Samwel Sitta
SERIKALI imepanga kutumia
takribani shilingi bilioni 1 kwa ajili
ya kutekeleza mkakati wa...
Watanzania tumekuwa wepesi mno kukemea jambo ambalo ukweli tunalitenda. Wakati wa awamu ya kwanza ya viongozi wetu (Nyerere na Karume) maneno yalikuwa machache ila vitendo vingi na hasahasa suala...
StarTimes ile kampuni inayorusha matangazo ya television kwa njia ya ving'amuzi (digital) kwa ubia na TBC inaonekana sio rafiki kwa vijana wa taifa hili, Inajulikana vijana wa nchi hii ni...
Nimeona kupitia Channel ten, Clouds ikipewa onyo pamoja na kuondoa kipengele cha jicho la ng'ombe. Japo nilikuwa nasikia humo redioni, sikuwahi kutulia na kusikiliza maudhui yake. Wadau mtujuze.
Jana kuna mtu mmoja alinishanga kwa kusema kuwa eti huyu msanii JK tumvumilie anaweza kuleta fikra mpya kwa muda uliobaki wa kutawala.KWELI BADO KUNA WATU WANA UMASIKINI WA MAWAZO(MIND...
wizara ya afya wametoa majina ya ajira mpya toka ijumaa kwenye kitabu chao kikubwa ambacho kipo wizarani peke yake.
watu ni wengi wanaokiangalia.
nawaombeni wataalamu wa IT wa wizarani, wekeni...
Wakuu,
Nachukua fursa hii kumpongeza mzee wa Upako mchungaji Lusekelo wa kanisa la Maombolezo kwa kitendo chake cha kusimamia alichokiamini na kinachomuongoza toka vitabu vitakatifu.Watanzania...
mambo gani haya?tangu asubuhi mpaka usiku huu umeme hakuna hapa mwanza.hv mnataka watu wale kwenu nyie tanesko.alafu mnadai hakuna mgao hiki ni nn?SHAME ON YOU.miaka hamsini ya uhuru tunahangaika...
NDUGU ZANGUNI
NAOMBA NIANZE KUWAPA POLE FAMILI YA B.LUHANGA ALIEWAHI KUWA MKURUGENZI WA TANESCO KWA
KUKATWA MGUU WA PILI KWA SABABU YA KISUKARI HUKO INDIA
B.LUHANGA ALIKUWA MKURUGENZI WA TANESCO...
Kama kuna upofu wa uzembe bandarini na upotoshwji wa taarifa ni waandishi kuiandama tpa hata kama upotevu umetokea ticts coz wengi wao hawajui tofauti ya hivi vyombo
Wadau nimeanza mradi wa kutotolesha vifaranga wa kienyeji kwa kutumia incubator ya umeme lakini hii kitu Tanesco wamenifanyia sitasahau maishani! Nadhani mmenielewa. Naomba kama kuna incubators...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.