Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa muda mrefu watumishi wa Uma (hasa katika Vyou Vikuu vya Uma) tumezoea kupata slips tarehe 24 kila mwezi na kama mshahara utachelewa haizidi tarehe 26. Sasa hiyo imebaki historia...! Kuna...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Yaani magari yanayotoka hii barabara ya kinondoni huwa yanachelewa sana kuruhusiwa, hivi kuna mtu anajua lolote jamani?? Trafic wanafanya makusudi au ndio sheria kuruhusu pande zote na kuisahau...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ASKARI wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), wamewasili Zanzibar kufanya uchunguzi wa kuwabaini waliomuua kwa kumpiga risasi, Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Heshima kwenu nyote Hivi jamani naombeni mnisaidie kwamba ni mfuko upi mzuri kwa mafao ya uzeeni wa kujiunga kati ya LAPF na PSPF Ushauri wenu ni muhimu sana karibuni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dear wadau wa JF na watanzania wote kwa ujumla, uongozi wa Taasisi Isiyokuwa ya kiserikali ya RafikiElimu Foundation unapenda kutoa taarifa ya ufafanuzi kuhusu taarifa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Why did you tell me this?
0 Reactions
1 Replies
973 Views
WAKAZI wa Mtaa wa Igodima kata ya Iganzo Jijini Mbeya waandamana kushinikiza kutekelezewa ahadi walioahidiwa na Diwani wa Kata hiyo ya kuwagawia eneo kwa ajili ya kufanyia biashara. Wakazi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu ni mrembo aliyekuwa amepata mwaliko toka kwa jamaa mmoja ambaye walijuana katika birthdaya ya rafiki yake..... Inadaiwa kuwa Binti huyu anasifika kwa kuwachuna wanaume wanaoigia...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Wakuu, Nimekuwa mfuatiliaji wa hali tete ya amani ndani ya taifa letu na kugundua kuwa tunacheza ngoma tusiyoijua.Matukio mengi ya vurugu za kidini yamekuwa ya kibebwa kwa kina na viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna taarifa kwamba huko Handeni kuna gari limekamatwa likisafirisha Wasomali katika kontena. JF tumetawanyika hebu mwenye updates atuwasilishie habari hii. Tanzania tunatakiwa kuwa wazalendo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dalili zote zinaonyesha kuwa uwezekano wa Tanzania kuvuka mwaka 2015 bila kutokea machafuko ya nchi nzima kati ya wakristo na waislamu ni mdogo sana. Sidhani kama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii ndio Nyumba Maalumu ya Mzee Juma Nasoro, Mkazi wa Miono, Bagamoyo Mkoani Pwani, mtaalam anayeishi na majoka ya kutisha nyumbani kwake. Mtoto huyu Lazaro Mninga 12, aliyeumwa na nyoka eneo la...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
IMEBAINIKA kuwapo kwa wizi wa kutisha katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam, huku magari ya Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji yakitajwa kwamba yamekuwa yakivusha...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Kuna ajali mbaya imetokea Sam Nujoma karibu kabisa na jengo la mawasiliano. Gari mbili zimehusika moja kwa hakika ikiwa ni gari ya abiria. Najaribu kutafuta habari zaidi na mwanya wa picha. Hope...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Katika kusherekea siku ya Mazingira Afrika wafanyakazi wa ikulu "wamefanya usafi" kwenye maeneo yanayozunguka Ikulu. Nadhani inmgekuwa bora wangeenda Sokoni kariakoo, Ferry Fish Market, etc...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa wale watu wa mamlaka ya mawasiliano walitangaza kuwa kuanzia tarehe 01/03/2013 gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine utakuwa sh 34/= kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu wana jf, poleni na majukumu ya kazi nakumbuka serikali iltoa tamko kupitia tcra kwamba kuanzia leo gharama za simu zitashuka kutoka sh 115 mpaka sh 34.92 kwa dakika kwenda mitandao yote...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumbe ndo mchezo wao sio...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana jf kwa habari nilizo zipata toka kwa wadau ni kuwa NBC wamepata MD mpya anaitwa Mizinga Melu toka Zambia. Huyu mama anatoka Standard Chartered Bank Zambia ambako alikuwa Managing Director...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wasalaam, Nimekuwa kwenye vita na panya nyumbani kwangu kwa miezi sasa. Panya hawa wapo wengi kiasi kwamba wakati mwingine unaweza kugongana naye ukiwa unapita kwenye "corridor" nyumbani hasa mida...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom