KADOH BRIDGE
New Member
- Jan 17, 2013
- 2
- 0
Kama kuna upofu wa uzembe bandarini na upotoshwji wa taarifa ni waandishi kuiandama tpa hata kama upotevu umetokea ticts coz wengi wao hawajui tofauti ya hivi vyombo
Kama kuna upofu wa uzembe bandarini na upotoshwji wa taarifa ni waandishi kuiandama tpa hata kama upotevu umetokea ticts coz wengi wao hawajui tofauti ya hivi vyombo
Kwanza karibu JF. [/COLOR][/B]
Tutajuaje Kama kuna Upofu wa Uzembe,Upotoshaji wa Taarifa na Upotevu unaotokea bandarini kwa kupitia TICTS bila ya mtu Kama KADOH BRIDGE kuja na habari iliyojitosheleza na kutueleza wana JF juu ya ufedhuli huo!?
Wewe Kama mwana JF (Mgeni) ni wajibu wako pia kuujulisha UMMA kupitia JF Platform ili Watanzania tupate uelewa wa mada husika.
Maana hapo nimechanganyikiwa kuelewa kwamba ni Lawama unaelekeza kwa Watanzania au waandishi wa Habari!?
Mimi ni mmoja kati ya Watanzania ambaye sielewi tofauti ya TPA na TICTS naomba unieleweshe. Ahsante.
Asante sana Mkuu Morinyo kwa maelekezo yako kuhusu TICTS na TPA.Huyu mleta mada kuna kitu anakwepa yawezekana anajua wazi kua watu wakielewa vizuri hali itakua mbaya zaidi. TICTS wao wanashughulika zaidi na contena services wakati bandali wao wapo kote kwa maana ya kontena services, general cargo etc. TPA hawawezi kukwepa ufisadi kama wa mafuta, meli kukaa mda mrefu bandalini, ufisadi katika ajira na mengineyo hata akipiga mayowe mwezi mzima.
Asante sana Mkuu Morinyo kwa maelekezo yako kuhusu TICTS na TPA.