Luhanga akatwa mguu wapili;tanesco wamkana live | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Luhanga akatwa mguu wapili;tanesco wamkana live

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Feb 27, 2013.

 1. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2013
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,549
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  NDUGU ZANGUNI
  NAOMBA NIANZE KUWAPA POLE FAMILI YA B.LUHANGA ALIEWAHI KUWA MKURUGENZI WA TANESCO KWA
  KUKATWA MGUU WA PILI KWA SABABU YA KISUKARI HUKO INDIA

  B.LUHANGA ALIKUWA MKURUGENZI WA TANESCO NA BAADA YA KUSTAAFU ALIANZA KUSUMBuLIWA NA KISUKARI
  ALIPATA SHIDA SANA PALE ALIPOMPOTEZA MWANAYE...

  MH LUHANGA ALIENDA INDIA KUTIBIWA ZAIDI HUKU AKIWA AMEKATWA TAYARI MGU MMOJA NDIPO ILIPOFANYIKA
  UAMUZI WA KUKATA MGUU MWINGINE

  HAA HIVYO ALIPOULIZWAKAIMU MKURUGENZI WA TANESCO KUHUSU HALI YA MZEE LUHANGA ALISEMA HAJUI CHOCHOTE ANACHOJUA ALISHAASTAAFU SO HANA MAWASILIANO ZAIDI..MSEMAJI WA TANESCO BBR HASSANA NAE ALISEMA HANA TAARIFA YOYOTE KUHUSU MZEE LUHANGA ZAIDI YA KUJUA KIPINDI FULAN ALIKUWA ANAUMWA

  MUNGU AMPE UVUMILIVU NA KUKUBALI HALI HALISI ALIYONAYO MZEE WETU LUHANGA NAJUA KWA FAMILIA NI VIGUMU LAKINI NI WAKATI WA KUWAOMBEA WOOTE WANAOUMWA UGONJWA HUU MUNGU AWAPE KUWASITIRI NA MAUMIVU MAANA KISUKARI IMEKUWA HATARI KULIKO HATA MAGONJWA MENGINE
   
 2. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2013
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,915
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Pole nyingi kwa mzee Luhanga na familia yake
   
 3. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2013
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  laiti ningejua tiba ya huu ugonjwa unatesa sana sana, Mungu aendelee kumrehemu na kumpa tumaini
   
 4. Tony Gwanco

  Tony Gwanco JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2013
  Joined: Jan 22, 2013
  Messages: 5,920
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 0
  pole mzee wetu mungu akupunguzie maumivu
   
 5. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2013
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,637
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Pole familia,tatizo la serikali ye2,ukistafu imekula kwako
   
 6. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2013
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,549
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Yaaani ukisoma gazeti la leo na majibu ya huyo msemaji na mkurugenzi hakika nakiri kusema kufanya kazi serikalini mpaka unazeeka ni laaana kuweni na malengo jamani msiishie kusubiri tuzo mlikuwa mtu fulan ukitoka awaangali hilo loh mola ampe nguvu ..naomba kama mtanzania usimwombee tu luhanga ombea nchi nzima nimekuwa hospitalini wiki mbili huu ugonjwa ni hatari kuliko ukoma hadi watoto ndugu zanguni ..nimemtibia bibi yangu nakutana na mtotowa miaka 16 anajichoma sindano mungu atupe nguvu kwa kweli
   
 7. kmbwembwe

  kmbwembwe JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2013
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 6,385
  Likes Received: 1,357
  Trophy Points: 280
  Pole mzee
   
 8. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2013
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,374
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  duuuh hawa watu waliofanya kazi kwa uaminifu ndo huwa mwisho wao. huyu mzee namkumbuka miaka ile kule TANESCO KIDATU , ndiko nilikomjulia. na hii ndio inawafanya watu kama akina pesambili kutoa misamahaa bila breki kwa kuhofia hali kaa hii. YUKO WAPI mzee TIMOTHI APIYO.........?
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2013
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,898
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Pole sana Baba AKAI...
   
 10. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2013
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,915
  Likes Received: 4,973
  Trophy Points: 280
  Pole sana wana familia!hivi hakuna kipengele kinachoweza kumsadia tokea Tanesco?Mramba tafadhali fanya uungwana japo kidogo tu!
   
 11. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2013
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 9,798
  Likes Received: 1,669
  Trophy Points: 280
  Unajua, serikali yetu ikishakutumia ukistaafu inakuwa haina haja nawe. Mbopna kuna katibu mkuu mstaafu alilalamika kwamba hajapata pensheni kwa karibia miaka 30 sasa? Unashangaa la Baruani Luhanga. Pole sana sana mzee wangu na jirani yangu Luhanga.
   
 12. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2013
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,219
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Wamemfanya BIG G au muwa, utamu ukiisha tupa kule!!

  MUNGU ampe faraja na uzima.
   
 13. n

  ngege john JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2013
  Joined: Jan 17, 2013
  Messages: 587
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  hali za namna hiyo huwakumba wastaafu wengi wa nchi yetu hasa wastaafu wa serikali. Ukistaafu ktk nchi hii huna tena thamani.
   
 14. SERGIO

  SERGIO JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2013
  Joined: Dec 13, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dah! Ama kweli hujafa hujaumbika. Namkumbuka sana huyu bwana enzi zake akiwa Tanesco. Alikuwa mtu mwenye afya njema tu, kumbe baadaye alipata matatizo namna hii? Pole sana Luhanga, poleni wanafamilia.
   
 15. H

  Hute JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2013
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,550
  Likes Received: 3,066
  Trophy Points: 280
  umeongea kitu cha kweli kabisa, serikali ya tz huwa haina shukrani kwa wafanyakazi wake, ndio maana watu hawawi na uzalendo kwa serikali au nchi, wanatafuta chao mapema kwasababu wanajua wao watakuwa kama big g tu au muwa, ukitafuna utamu ukiisha tupa kule...Mungu ampunguzie maumivu Luhanga.
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2013
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,718
  Likes Received: 21,805
  Trophy Points: 280
  Msemaji wa Tanesco ni Babra Hassan?
   
 17. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2013
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,107
  Trophy Points: 280
  Kwa nini waandishi wanafikiri ni sahihi kwa msemaji wa TANESCO kusema lolote kuhusu afya ya mtu? Hususan kama mtu mwenyewe si mfanyakazi wa TANESCO?

  Kwa nini kuna mentality kwamba ukifanya kazi sehemu itakuhudumia mpaka kufa?
   
 18. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2013
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa taarifa hiyo inaonyesha hata ile kumtembelea, kujulia hali haipo. Si lazima msaada wa kipesa, Tupendane maana nasi tuwastaafu watarajiwa. Serikali inatakiwa iwe na kitengo cha mahusiano kwa wastaafu ili kufuatilia afya/hali ya wastaafu wake, bado ni hazina kubwa kwa kutoa ushauri.
   
 19. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2013
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 0
  Pole Zake Mzee...Very sad!
  BTW, nyie mlitaka TANESCO waseme nini? Wewe ukistaafu taarifa zako ziende kutafuta nini ofisi isiyo yako tena, au ofisi ni ya Baba yako? Watu wana kazi za kufanya, siyo kufuatilia aliyekuwa mkuu wao anafanya nini sasa hivi. TANESCO hawajamkana Luhanga, wao wamesema hawafahamu kama anaumwa, na huyo mwandishi wa habari alienda kutafuta habari za ugonjwa wa Luhanga TANESCO!!!!!?...Hata Luhanga mwenyewe hatafurahishwa na kitendo cha mwandishi huyo.
   
 20. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2013
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 0
  Hilo fungu la kumtembelea litoke kwenye fungu lipi?...si ndiyo ufisadi huanza hivyo? Yule mzee sidhani kama anahitaji msaada wowote wa kifedha, kilichompeleka mwandishi wa habari TANESCO ni udaku!
   
Loading...