Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,750 Reaction score 7,026 Mar 1, 2013 #1 Wakuu naomba kujuzwa kiwango cha nauli kutoka mkoa wa geita - chato hadi dar,kwa upande wa barabara na fastjeti nawakilisha
Wakuu naomba kujuzwa kiwango cha nauli kutoka mkoa wa geita - chato hadi dar,kwa upande wa barabara na fastjeti nawakilisha
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,591 Mar 1, 2013 #2 kwa basi jiandae kwa kiasi kisichopungua laki moja mkuu utafika mjini salama..