Nasikia milio ya Risasi vipi kunani?

Nasikia milio ya Risasi vipi kunani?

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
953
Ni maeneo ya airport nasikia kuna machine inakohoa sana vipi kunani?
 
airport ya burundi,congo,mtwara au nduli iringa? au songwe mbeya?
 
Mwalimu JK Nyerere airport.
Risasi 3 hivi za nguvu!
 
inawezekana tairi ya ndege imepasuka,au Air Tanzania imechemsha.....
 
Ni risasi zitakuwa zinatoka kwenye bunduki
 
kweli kabisa itakuwa pik pik inajaribu kubana gesi yake ya asili
 
Back
Top Bottom