Muda mfupu ujao, papa Benedict wa kumi na sita, atafunga virago na kuondoka katika kasri la kipapa lililoko katika himaya yake katika jiji la vatikano. ninaiweka hii mada hapa badala ya kule...
Alhamisi, Februari 28, 2013 12:11 Na Mwandishi wetu
*Ulinzi waimarishwa makanisani Zanzibar
CD za uchochezi zenye kauli ya mkakati wa mauaji ya viongozi wa dini ya Kikristo zimeendelea kusambaa...
May 28 Serikali kupitia sekretariet ya utumishi wa umma imetoa nafasi za kazi kwa watu.ni jambo jema na la kupongeza,lakini kinachonishangaza ni suala la kutaka vyeti.kwanini nashangaa?serikali...
Wakati nasoma shule ya sekondari (Songea Boys na Malangali boys) kulikua na tabia ya wapishi kuweka mafuta ya taa kwenye maharage ili kutupunguzia ashki/mhemko! Je ni kweli mafuta hayo hua...
Salaam wanaJF,
Nahitaji kujuzwa faida ya mitihani ya Necta na Cambidge kwa vijana wanaomaliza darasa la saba,
Kijana nahitaji kuanza kujipanga mapema,mliopitia huko naomba kujuzwa,
Natanguliza...
Kijana huyu mkazi wa kibaha kijiji cha kidimu anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumteka msichana wa kijijini hapo na kumfanya mateka wake.Binti huyo alipotea kwao kwa miezi minne na kupatikana...
Ndege iliyombeba mke wa Rais Salma Kikwete na ujumbe wake juzi nusura iparamie mbwa aliyekuwa uwanjani hapo wakati ikitua. Matairi ya ndege hiyo ya serikali yalishagusa ardhi lakini kwa umahili wa...
Toka asubuhi saa mbili kamili asubuhi jiji la mwanza umeme umekatika, na hakuna taarifa yoyote kutoka tanesco, hadi ivi sasa bado giza limeenea katika kila kona ya jiji hili lenye miamba na milima...
MTOTO MCHANGA ALIYEOKOTWA ASUBUHI YA LEO
Wasamaria wema wakikifuta uchafu kichanga kilichokutwa kimetupwa maeneo ya Kimara Baruti Bondeni karibu na maeneo ya Ubungo Kibangu.Yawezekana mtoto huyo...
Justus Esiri was popularly known as the Village Headmaster after his role in the TV show by the same name. He was a Nollywood veteran and icon who died on the 19th of February 2013 following...
Leo ni siku ya tatu ndugu mmoja alimpa dreva wake gari aina ya Prado aende kuliosha, halijarudishwa wala simu yake not reachable!
Eti alimjua siku nyingi alikuwa fundi wakazoeana hatimaye...
Hebu tazama hapa: Loliondo Jitters - YouTube
Mama Mugo, Waziri wa Afya wa Kenya anasema huyo ni mganga na sio mhubiri wa dini, wakati mawaziri wa kwetu walienda kupanga foleni kunywa maji eti ni...
Habari zenu Mlojaaliwa utashi kamili.
Ni wiki mbili sasa kwa wakazi wa Jimbo la Singida Mashariki kupatiwa msaada wa Chakula na Serikali yetu.
Msaada huo ulinipekea kujiuliza maswali mengi...
wengi hapa unguja wanazungumzia tukio la kuwawa kwa padri majuzi hapa kuwa walidhulumiana madawa ya kulevya na hata kuna sms zinasambazwa kupitia sim za mikononi ya kuwa kauwawa na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.