Kwa mujibu wa Mheshimiwa Sana, hakuna tofauti wala hasara ya kuwepo au kutokuwepo umeme, kwani miaka yote hiyo mnalia umeme lakini yeye anasema Uchumi unakuwa so umeme sio factor katika ukuaji wa uchumi wa bongo, huku Duniani sijaona kukatika kwa umeme na sababu yake ni kwamba iwapo utakatika kwa dakika kadhaa, hasara yake haitamithilika kwa vile nchi zinashikwa na "electronic systems" hivyo ukikatika hata kwa second 5, kila kitu kinasimama-Poleni bt changes lazima