wizara ya afya wekeni majina ya ajira mpya kwenye net | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wizara ya afya wekeni majina ya ajira mpya kwenye net

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rukiko, Apr 23, 2012.

 1. R

  Rukiko Senior Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: May 5, 2009
  Messages: 199
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  wizara ya afya wametoa majina ya ajira mpya toka ijumaa kwenye kitabu chao kikubwa ambacho kipo wizarani peke yake.
  watu ni wengi wanaokiangalia.
  nawaombeni wataalamu wa IT wa wizarani, wekeni majina haya kwenye mtandao; ni mara ya pili hii mnatoa majina bila kuweka kwenye net ambapo watu wengi sana hufika na kufanya mambo kuwa rahisi. au la mmeshindwa, wekeni kwenye magazeti, mbona wenzenu wa kilimo waliweza?serikali ileile!
  kwa mtindo huu e-government mtaiweza kweli!!!si wote wapo dar
   
 2. Mangi merry

  Mangi merry JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu hizi ajira ni za post gani maana nilisikia kwamba wizara bado hawajapata kibali cha kuwaajiri watumishi wa kada ya afya mwaka 2012/13
   
Loading...