Habari zenu Mlojaaliwa utashi kamili.
Ni wiki mbili sasa kwa wakazi wa Jimbo la Singida Mashariki kupatiwa msaada wa Chakula na Serikali yetu.
Msaada huo ulinipekea kujiuliza maswali mengi...
wengi hapa unguja wanazungumzia tukio la kuwawa kwa padri majuzi hapa kuwa walidhulumiana madawa ya kulevya na hata kuna sms zinasambazwa kupitia sim za mikononi ya kuwa kauwawa na watu...
nimekaa nikajiuliza mtu aliezaliwa feb 29 au 28 kwa kila mwaka hawa birthday zao zinakuaje kwa mfano aliezaliwa feb 29 kwa mwaka huu atasherehekea vipi birthday yake....hebu nipeni jibu
WEDNESDAY, FEBRUARY 27, 2013
WANANCHI RUNGWE wamefurahishwa na kitendo cha mwekezaji kukubali kujenga kiwanda cha kusindika gesi inayochimbwa RUNGWE,Mkoani MBEYA.
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe...
Early indicators show that the world famous Serengeti Migration involving a massive movement of more than 2.5 million Serengeti National Park wild animals may not enter Kenya's Maasai-Mara this...
20th February 13
Mwigulu: How chopped off my arm
Mwigulu Matonange (10), a Standard I pupil at Msia Primary School in Sumbawanga District, nurses wounds at Mtowisa Health Centre after an attack...
Wafanyakazi wa Kituo cha Dawasco Kawe (hasa enginner - Eliud)
acheni kufanya ofisi ya umma kama za baba zenu, hiyo ni ofisi ya umma,
sikilizeni wateja na mtoe majibu ya kuridhisha. Cheo dhamana!!
Kwetu Tanzania, mkulima hana sauti kuamua bei ya mazao yake, lakin mnunuzi ndiye anayeamua! Yaan mimi ndiye niliyetoka jasho kulima, bado nakuja kubembeleza nipate angalau bei yenye nafuu - sio...
Mishahara kwa watumishi wa Halmashauri za Wilaya imekuwa inachelewa kutoka, ingawa si kwa Halmashauri zote. Waziri anayehusika na Utumishi (kwa kipindi fulani- tukumbushane) aliwahi kutamka kwamba...
Au kwa kuwa mnakopesheka ndiyo maana mnatukopa? Ama kwa kuwa mmeshika mpini ndiyo maana hamtulipi sisi tulioshika makali! Lazima nilalamike, mishahara tutalipa/lipwa kwa njia gani?
Fikiria...
Hiyo ndiyo decoder ya Startimes.Ikitokea umehama mkoa labda kikazi au kwa namna yoyote ile umekula hasara,mimi imenikuta hiyo hali,nawapigia wananiambia ninunue kikingine,jamani huu siyo...
wanajamvi heshima kwenu !,polisi ambao walipelekwa masasi,toka mtwara mjini, lindi na dsm,ambao walitumwa rasmi kwenda kuongeza nguvu mara baada ya vurugu zilizokuwa zimetokea. Zilizosababisha...
Nimekuja kupata huduma ya matibabu yapata saa 2:30 asubuh, kandikishw mapokezi nimetuia zaidi ya nusu saa, nafika kwenye kumwona daktari kuna foleni ya wagonjwa zaidi ya 20 na daktari yupo mmoja...
Source: LIFE BLOG
WEDNESDAY, FEBRUARY 27, 2013
STOP THE EXCUSES!
'STOP THE EXCUSES', this is the book by Dr. Wayne W. Dyer. It's about how to change lifelong thought or self defeating...
Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza...
Mungu ibariki tanzania yangu, nchi yangu yenye neema tele lakini mmmh, embu nambie unapeleka wapi utabiri wako katika uchaguzi wa 2015, kwa majimbo ambayo una uhakika chama cha cdm wataendelea...
Still alive by surprise Fast jet introduced two new routes, Kilimanjaro to Zanzibar, Kilimanjaro to Mwanza. But the price for Zanzibar is so cheap, one way is 200,000 TZS, which is about 125 USD...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.