Ana kwa ana na msukule.
Siku ya sabasaba Jumanne, mida ya jioni, kama saa moja jioni nilipata ajali, kulikuwa na mvua, tulikuwa barabara ya Mwai Kibaki mitaa ya Kawe Beach, jirani na njia ya...
Katika huo mpango wa CCM wa uchumi wa $ Trillion 1 kufikia mwaka 2050 wana mpango wowote wa kujenga daraja la barabara ya juu (viaduct) Kitonga au wataendelea na mbinu za kienyeji tu za kuchimba...
Kuna kitu kinanipa wasi wasi sana, nina miaka 29 na ni naona dalili za kuja kuwa na uwalaza yaani(kipara au wanga)
Je, kuna njia yoyote ya kusaidia kuotesha nywele au nifanye njia gani kuepuka...
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Kuu ya Dodoma inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ya kikatiba Na. 7300 ya mwaka 2026, inayohusu haki ya Mawakili kuzuiwa na kukosa faragha pindi wanapotaka...
Taswira(Historia) ya uongozi na viongozi wake wanaakisi au wanatafsirika vipi na jamii? Na katika hiyo taswira wana-athari gani kwa mustakabali mzima wa Taifa, ref; Wanamtandao.
Holela...
Surah Al-Baqarah (2:67–73) au kwa kibantu sura ya Ng'ombe ayat 2:67-73.
Katika hii story ya Quran kulizuka mzozo katika kisa cha mauaji ambapo watu walibishina kuhusu mauaji ya mtu fulani. Musa...
Kuzaa kunahitaji uwe na uwezo wa kuwahudumia watoto unaowazaa, na si lazima uwe tajiri, lakini ni muhimu kuwa na mpango kimaisha na uwezo wa kukabiliana na mahitaji yao ya msingi.
Nilishangaa...
Uchunguzi wake, gazeti la Nipashe kuhusu uhifadhi wa kemikali ya Ammonium Nitrate katika ghala la Donito Investment Limited, eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam, unaibua maswali mazito kuhusu...
Rais wa Cameroon, Paul Biya (91) hajaonekana hadharani kwa zaidi ya siku 60, lakini bado anaendelea kutekeleza majukumu yake ya urais akiwa nje ya nchi. Hali hiyo imewafanya watu wengi kujiuliza...
Kwa heshima kubwa, tunaomba mamlaka husika zifuatilie kwa umakini changamoto tunazopitia sisi madereva wa Bolt katika eneo la Airport Terminal, Julius Nyerere International Airport (JNIA).
Kwa...
■ Rais Samia Suluhu Hassan aelekeza Tanzania kutumia nafasi yake ya kimkakati kuvutia uwekezaji wa kimataifa.
■ Waziri Mkuu aielezea Dar es Salaam kama lango la biashara linalounganisha Afrika na...
Matumizi ya maneno damu na jina la Yesu
Kumekuwa na mjadala kuhusu matumizi ya maneno DAMU ya Yesu na JINA la Yesu.
Hebu tuangalie misingi ya tofauti ya matumizi ya maneno hayo.
Kwa waaminio au...
Kwa nini Kusali iwe kabla ya kulala usiku na unapoamka asubuhi? Usingizi wa usiku unatisha ?
Ni kama vile binadamu wanaogopa wakilala wanaweza wasiamke, watakufa usingizini usiku!🤣
Sijui...
Balozi William Trachman amekabidhi rasmi hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, na hivyo kuanza rasmi majukumu yake kama Balozi wa 21 wa...
Jumla ya miradi 1,337 yenye thamani ya zaidi ya Sh2.24 trilioni ilizinduliwa au kuwekwa misingi wakati wa Mwenge wa Uhuru 2026. Miradi hiyo inahusisha afya, maji, barabara, viwanda, kilimo na...
Habari wadau,
Uzi wa leo tunashona sekta ya afya hapa nchini malawi.
Wengi mnatambua kuwa kuna mfumo huu wa taasisi za afya za malawi.
Ambapo unapofika hospital inaenda kwa mlolongo ufuatao;
1...
Katika jitihada za kuwawezesha wananchi kufanikisha safari zao bila kikwazo cha nauli, huduma ya Tripbey imezinduliwa rasmi nchini Tanzania ikiwa inalenga kumwezesha kila mwananchi kupata huduma...
Nimeona hilo tukio la huyo jamaa aliye Muua mke wake Kwa Kumpiga risasi, nimesoma chanzo Cha tukio lote nimeona kama stori inaendana na kilicho tokea Kwa kaka yangu pamoja na mkewe.
Ninavyo...
Hii ni miongoni mwa blunders za hovyo mno za kisiasa, miongoni mwa wanasiasa waliokosa agenda za kuwashawishi na kuvutia kundi kubwa la wapiga kura kuwa upande wao. Mara nyingi wanasiasa hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.